BOT haijui mabilioni ya Uswisi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Naibu Gavana wa Benki Kuu(BOT),Juma Reli, amejikanyaga mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) akieleza kuwa benki hiyo haijui wala haijawahi kufuatilia taarifa za watanzania 99 wanaotuhumiwa kumiliki mabilioni katika mabenki ya nchini Uswisi.

CHANZO:Nipashe

My take;
Raisi Kikwete sijui anafanya nini Ikulu!!
 
napita ntarudi tena kama ntachelewa cya 2015 u/taifa tukimkabidh lowassa nchi
 
katika jambo hili haikustahili gavana na naibu gavana wawepo ofisini walitakiwa wawe wa meshafukuzwa kazi kwa mujibu wa sheria za nchi na benk kuu,

maana sheria za benk kuu zipo wazi kwamba kila mtanzania anayeweka fedha nje ya nchi ni lazima apate idhini au kujulikana na benk kuu,sasa hawa mabwana kwa kujua wazi ni kosa, na bado wanaendelea kuwa ofisini!

hapa picha inavyoonekana hizo pesa ni zawa kubwa serikalini na hawa mabwana wanafisha ukweli,

mimi ningewaomba uswisi kwa kushirikiana na wahisani wazitaifishe hizo fedha kwa maana kama benk kuu imeshindwa kuzitambua mwenye nazo basi wao wazichukue,
 
Mwanzoni zitto alisema ana majina ya hawa watu. Kwanin ameyakalia hadi leo?
 
Mabenki ya Uswisi huwa yanaweka pesa za watu kwa siri sasa Benki kuu watajuaje? Wanafanya hivyo ni faida kwao pia kwani ukifa wanataifisha tuu.
 
katika jambo hili haikustahili gavana na naibu gavana wawepo ofisini walitakiwa wawe wa meshafukuzwa kazi kwa mujibu wa sheria za nchi na benk kuu,

maana sheria za benk kuu zipo wazi kwamba kila mtanzania anayeweka fedha nje ya nchi ni lazima apate idhini au kujulikana na benk kuu,sasa hawa mabwana kwa kujua wazi ni kosa, na bado wanaendelea kuwa ofisini!

hapa picha inavyoonekana hizo pesa ni zawa kubwa serikalini na hawa mabwana wanafisha ukweli,

mimi ningewaomba uswisi kwa kushirikiana na wahisani wazitaifishe hizo fedha kwa maana kama benk kuu imeshindwa kuzitambua mwenye nazo basi wao wazichukue,

Kwa serikali hii usitegemee muujiza wa kumuwajibisha mtu
 
Haiwezi kuingia akilini kwamba Gavana wa benki kuu hana habari na swala nyeti kama hili ambalo limekuwa likiongelewa kwa muda mrefu kiasi hiki.

Inaelekea anajaribu kulinda maslahi ya wakubwa zake lakini atakuja umbuka...!
 
benk kuu wana uwezo wa kujua na kufatilia pesa zote zilizopo nje ya nchi huyo naibu gavana alikuwepo wakati wa epa,escrow siku zote amekuwa akitumika kuficha ukweli
 
Back
Top Bottom