BOT Domain is Expired

BOT Domain is Expired

Ben Mugashe

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Posts
999
Reaction score
618
Inakuwaje BOT domain inafikia wakati inakuwa expired, na mbaya zaidi inalipiwa renew ya 1yr...
Jirekebisheni IT wenzangu aisee iko siku mwendawazimu mmoja ataiona imekuwa expired atainunua na kuipark kwake then inakuwa aibu ya Taifa...

Domain ID😀942241-LROR
Domain Name:BOT-TZ.ORG
Created On:22-Nov-1997 05:00:00 UTC
Last Updated On:25-Nov-2012 10:55:38 UTC
Expiration Date:21-Nov-2013 05:00:00 UTC

Sponsoring Registrar:Network Solutions, LLC (R63-LROR)
Status:CLIENT TRANSFER PROHIBITED
Status:AUTORENEWPERIOD
Registrant ID😀OMAIN-RESALE
Registrant Name😛ending Renewal or Deletion
Registrant Street1😛.O. Box 430
Admin ID😀OMAIN-RESALE
Admin Name😛ending Renewal or Deletion
Admin Street1😛.O. Box 430
Admin Email:
Tech ID😀OMAIN-RESALE
Tech Name😛ending Renewal or Deletion
Tech Street1😛.O. Box 430
Tech City:Herndon
Tech State/Province:VA
Tech Postal Code:20172
Tech Country:US
Tech Phone:+1.5707088786
Name Server:NS1.PENDINGRENEWALDELETION.COM
Name Server:NS2.PENDINGRENEWALDELETION.COM

Name Server:
 
Wataalam wa IT wa Central bank wamekwenda Hong Kong kwenye mafunzo ya jinsi ya ku-renew domain...!
 
Mara nyingi huwa hatuko serious ata na mambo ya msingi!
 
Renew is not more that $50 per yr, sasa BOT inashindwa kulipia 10yrs jamani...Kweli this is ONLY in Tanzania...
 
Hii ndiyo Tanzania, kila mtu anaamua anavyoweza yeye, hakuna sheria wala wafuatiliaji. kazi kweli kweli.
 
hahahaha watanunua tu wez flan hv af ndo michezo ianze kutumika
 
Mbona hata domain yenyewe imekaa kiajabu ajabu. BOT-TZ? anyway, kama alivyosema Baba Enock, inawezekana wameenda mafunzoni, ama semina elekezi. Shame on them, shame on us "ITicians", shame on Tanzania.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom