Secretary aliingia ofisini kwa bosi wake akaona zip ya suruali ya bosi iko waz secretary: Samahani bosi umeacha gereji wazi bosi: heheee huku akiifunga umeona benz yangu? Secretary: mmh! Hapana nimeona bajaj, halafu tairi zake mbili za nyuma zinapancha