Cruel mpole
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 106
Habari wana jf.
Ninafanya kazi ktk benki moja hapa dar,na ktk tawi letu kuna meneja ambaye ni mama mwenye binti mmoja ambaye ni mwanafunzi chuo fulani hapa jijini.Huyu binti pindi yupo chuo alikuwa na tendency yakupitia pesa ya kula hapa ofisini,na mama yake kama hayupo,kidogo mimi nilikuwa nampatia.Sasa kadiri siku zinavyokwenda,boss wangu huyu huja ofisini kwangu,nakuanza kusimulia mambo ya binti yake.Mara binti yangu vile,mara binti yangu hivi,mara binti yangu anatabia njema,mara binti yangu.....eeeenh!!!yaaani maneno kedekede.Imekuwa ni tabia sasa,kila siku ofisini lazima anieleze habari za binti yake.Mimi naona kama vile anamnadi kwangu,ila bado sijamsoma vizuri kwanini anafanya hvyo.Au kwa vile nilishamtonya kwamba mimi ni bachela na sina mwanamke wa aina yoyote.?Mimi nahisi mama anataka anniconect ki intelijensia kwa binti yake?provided that huyu binti namchukulia kama dada yangu tu,na sijawahi kudate nae.Ebu nijuzeni wataalam wa mambo haya,kuna nini kinaendelea hapa?