Mpe bana bahati nzuri hata wewe unapenda sema unajishauwa tu umeishanza kupiga na makiss mpe huwezi kujua mbeleni unaweza kuwa nyumba ndogo mpe tu...
Mwaaa!!!
Swali lako hapa ni la kutuzuga tu. Mimi naamini jamaa kesha kula mzigo. Jina lako lenyewe linamaanisha wewe siyo mtu wa kusema no.
Kumbe unapenda kisses? na pink lips? hahahaha, sikujua...