Boss wangu anataka kunifukuza kazi sababu ya SEX.

Erotica

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,513
1,735
Mod mlengwa I hate you, that ban was not sexy ulinionea! I love you mod
unaerespond support@jamiiforums. Ni pm nikurushie vocha au ukipenda uje niku massage.

:focus:


Nianze kwa kujitetea. Hakuna asiependa fwedhwa hasa kama unazifanyia kazi mwenyewe. Tokana na
juhudi zangu za kazi na mvuto wa mwili wangu unaochanganya akina baba, Boss akaona kua
anipigie debe na kuhakikisha kwa namna zote nipate ile nafasi ambayo tulikua tunashindania na kaka
mwingine ambae pia ana juhudi hapo ofisini. Ila alikua na hasara moja, yeye ni mwanaume alikua ana
compete na mwanamke ambae ndio mimi.

Cutting the stori short, ile kazi niipata mimi, na katika mshahara wangu sifuri mbili zikaongeza.
Mashallah maisha yangu ni mazuri sasa hadi nimebadilisha usafiri. Boss alipokua ananifanyia
huo mpango aliniambia "Erotica unajua ni nini nataka kwako sio?" nikamjibu
"Boss hata kama hutaki nitakulazimisha, itakua ni haki yako na hata
ungepanga kukataa nakulazimisha hadi ukubali ikiwezekana nakufuata hadi kwako
hadi ukubali ila tu ili kutoonesha kua umenipendelea tutasubiri miezi miwili"
Akafurahi na mimi nikafurahi na tukaishia hapo.
Sasa miezi miwili imeisha, kani text juzi briefly "erotica ahadi yetu weekend hii naomba utimize"
Nikajibu "Boss I was just thinking about you, weekend ni mbali, mie naomba iwe kesho tunapotoka kazini"
Akajibu tena "good".

Pale karibu tunataka kutoka nikafunga ofisi yangu na kumfuata. Nikakuta nae ndio anafungu ofisi.
Nikamwambia boss ahadi yetu hii hapa nikimkabidhi bahasha yenye cash ya Laki 5.
Yaliofuata hapo ni bonge la ugomvi akabadilika hadi sura utadhani simba.
Kisa??? Akaishia kuniambia it was SEX alikua akitaka na nisipo mpa ananifukuza kazi!

It is not fair!! Naomba ushauri nifanyeje?
Ushauri wa kulala nae sio suluhisho anaonekana hawezi kabisa game na mbaya zaidi hanivutii.


Mwaaaaah.:A S kiss:
 
mpe, haikusaidii hata kuanzisha sredi hapa wala kuchangia.

Ndo kazi yake kama macho kuona lol
 
kwani wewe unataka kufurahia game?
Pale unalipa fadhila tu

mpe haraka ila kabla hujampa asaini doc kuwa hataomba tena na akiomba umpeleke takukuru.

Pole kwa ban, inauma kama nini.
 
mpe, haikusaidii hata kuanzisha sredi hapa wala kuchangia.

Ndo kazi yake kama macho kuona lol

Kongosho huwezi jua labda nitapata mwajiri hapa ambae anaweza nipa

kazi nzuri zaidi ya hio. hapo chini nimesema hanivutii.
 
Last edited by a moderator:
U r something else, ulishaona mtoto wa Simba anacheza na mtoto wa kondoo?

Sasa weye kondoo wacheza na Simba, utahibeba! LOL
 
Never try it. Mwamini Mungu na mwambie Mungu akutetee katika jaribu hilo. Hakuna chochote atakachofanya ukimhusisha Mungu. Hata yeye anajua he is not supposed to act in that way. Pls remain firm to your God.
 
U r something else, ulishaona mtoto wa Simba anacheza na mtoto wa kondoo?

Sasa weye kondoo wacheza na Simba, utahibeba! LOL



teh teh teh. umeshindwa kabis kunipa ushauri shosti yako? acha kunitisha Kaunga.
 
wisdomthorns1024.jpg

Serious though if you give him an inch he will take a mile.., na kila ukimkataa atakuwa anatishia kukufukuza
 
Never try it. Mwamini Mungu na mwambie Mungu akutetee katika jaribu hilo. Hakuna chochote atakachofanya ukimhusisha Mungu. Hata yeye anajua he is not supposed to act in that way. Pls remain firm to your God.

RUBERTS Mungu anasema anamsaidia anaejisaidia. maneno pakee hayatoshi,

nipe ni ujuzi gani nitumie ile Mungu nae anikubali na kunisaidia.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. umeshindwa kabis kunipa ushauri shosti yako? acha kunitisha Kaunga.

Twende basi Global Publishers tuchukue mwandishi wa habari, tumfanyizie Boss ili uwe top kabisa; waonaje? LOL
 
Kwani inasoma geji? mbona ilikuwa rahisi tu mumalizane bila kumleta huku kwa Pilato?
 
kwani ni sabuni kuwa itaisha au kuweka alama?mwanaume gani utampata wa kukupa maisha bora kipindi hichi zaidi ya huyo?
 
Back
Top Bottom