Boss wangu anataka kunifukuza kazi sababu ya SEX.

\

Hivi kwa kumwangalia tu unaweza kujua kama huyu analiweza gamu na huyu haliwezi. Umenifanya nimkumbuke binti mmoja wa Kiganda nilikutana naye BK akawa ananiambia kuwa mimi ninakitambi kwahiyo sintaweza. Tulivyoenda kwenye chezo nikamchapa akasquirt karibu mara tatu ikabidi akae Hotelini kwangu siku tatu mfululizo. Lakini kingine alikuwa anaamini kuwa yale maji wanayomwagaga wanawake wa kihaya ni mikojo, alivyomwaga na yeye akakiri kuwa siyo mikojo ila ni maji ya kipekee yanayotokana na mahaba.

Mambo ya mvuto we kata kichwa tu au jifanye kipofu vile.

Kinchakuli hivi wewe hujui viashiria vya anaye weza game na asiyeweza? Mbona iko wazi kabitha! teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Mod mlengwa I hate you, that ban was not sexy ulinionea! I love you mod
unaerespond support@jamiiforums. Ni pm nikurushie vocha au ukipenda uje niku massage.

:focus:


Nianze kwa kujitetea. Hakuna asiependa fwedhwa hasa kama unazifanyia kazi mwenyewe. Tokana na
juhudi zangu za kazi na mvuto wa mwili wangu unaochanganya akina baba, Boss akaona kua
anipigie debe na kuhakikisha kwa namna zote nipate ile nafasi ambayo tulikua tunashindania na kaka
mwingine ambae pia ana juhudi hapo ofisini. Ila alikua na hasara moja, yeye ni mwanaume alikua ana
compete na mwanamke ambae ndio mimi.

Cutting the stori short, ile kazi niipata mimi, na katika mshahara wangu sifuri mbili zikaongeza.
Mashallah maisha yangu ni mazuri sasa hadi nimebadilisha usafiri. Boss alipokua ananifanyia
huo mpango aliniambia “Erotica unajua ni nini nataka kwako sio?” nikamjibu
“Boss hata kama hutaki nitakulazimisha, itakua ni haki yako na hata
ungepanga kukataa nakulazimisha hadi ukubali ikiwezekana nakufuata hadi kwako
hadi ukubali ila tu ili kutoonesha kua umenipendelea tutasubiri miezi miwili”
Akafurahi na mimi nikafurahi na tukaishia hapo.
Sasa miezi miwili imeisha, kani text juzi briefly “erotica ahadi yetu weekend hii naomba utimize”
Nikajibu “Boss I was just thinking about you, weekend ni mbali, mie naomba iwe kesho tunapotoka kazini”
Akajibu tena “good”.

Pale karibu tunataka kutoka nikafunga ofisi yangu na kumfuata. Nikakuta nae ndio anafungu ofisi.
Nikamwambia boss ahadi yetu hii hapa nikimkabidhi bahasha yenye cash ya Laki 5.
Yaliofuata hapo ni bonge la ugomvi akabadilika hadi sura utadhani simba.
Kisa??? Akaishia kuniambia it was SEX alikua akitaka na nisipo mpa ananifukuza kazi!

It is not fair!! Naomba ushauri nifanyeje?
Ushauri wa kulala nae sio suluhisho anaonekana hawezi kabisa game na mbaya zaidi hanivutii.


Mwaaaaah.:A S kiss:

Kazi kweli kweli, ingawa sio mchangiaji sana lakini huwa navutiwa sana na mada zako. na kwa hili una bonge la mtego ukimpa na akanogewa atahitaji tene na tena, na akiomba ukamnyima atakutishia kukufuza kazi, kwa kifupi utakuwa mtumwa wa ngono na hasa ukizingatia umesha sema hakuvutii. Mtoto bora upate kidogo uwe huru kuliko kupata vingi ukawa mtumwa.
 
Back
Top Bottom