Boss wako akikutaka utamkataa??

Je boss wako akutake utamkubali au

Swali gani la kijinga hili!!!, kwani mtu akiwa boss wako anakutawala mpaka uchi wako!!. Kazi na mapenzi ni idara mbili tofauti kabisa, aaaaaallaaaaaaaaaaaaaaa...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…