Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Habari wakuu,
Huu ni ujumbe maridhawa kwako boss wa TAHMEED.
Kwanza kabisa nakupongeza kwa kujali soko lako.
Umetuletea magari mapya mazuri ila ninachokuomba...
1. WAFANYAKAZI
Naomba wafanyakazi wako wajali wateja sio ukipanda gari unskuwa kana umepanda Daladala, mfano
Haiwezkani mteja apande gari Boma ,Hai alafu asiname hadi Moshi wakati amekata tiket full mpaka Dar elfu 33 Halafu asimame kisa kuna abiria wa Arusha to Moshi. Gari ni ya Arusha 2 Dar Badilikeni.
2.DARAJA
Kusema kweli magari yenu nje mazuri sana daraja la juu ila ndani daraja la nne. Ninaomba service kama wifi,tv , Kupokea wateja na kuwaelekeza siti za kukaa.
NI HAYO TU NAOMBA MZINGATIE