Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

Mpunguani kweli wewe tafuta kazi una wivu wa kike unadhani maisha yako kuwa magumu kasababisha Salaah.

Pesa ya kula mtihani utaweza bidhaa za Ulaya au Marekani.

una akili za kichuuzi tunahitaji viwanda vyetu alivyoacha nyerere virudi sio bidhaa kutoka kwa mabwana zako wa ulaya na marekani.
 
una akili za kichuuzi tunahitaji viwanda vyetu alivyoacha nyerere virudi sio bidhaa kutoka kwa mabwana zako wa ulaya na marekani.

Nyerere alidhulumu mali za watu akidhani ataneemeka matokeo yake ameenda kufia UINGEREZA kakuacha we bado ni MBWA WA MANZESE tu unakula majalalani!

Kikwete anatoa nafasi kwa watu wenye fedha Kuiwakilisha Nchi yetu sio Watu njaa ka babako! Au hao wabadhilifu wa kigalatia!

Nyie watu maskini wa fikra ni sawa na Ebola tu.
Km mimi ndio kiongozi nakugeuza chakula cha simba tu serengeti!
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi wenye mitaji midogomidogo hutumia kampuni yake kusafirisha mizigo yao kutoka China mpaka Tanzania. Wafanyabishara wengi wakariakoo wanalitambua hilo ( ukiwa na muda pita kariakoo kuulizia). Lingine nikwamba Kampuni yake imekuwa ikiwasaidia watanzania wanapopatwa na matatizo mfano: unapopoteza passport basi wengi hukimbilia kwenye kampuni yake kuomba msaada na Bw. Salaah pasipo kujiuliza huweza kuwasaidia bure kabisa pasipo kutoza gharama yeyote ile. Hata hivi karibuni kuna mtanzania alifia huku China na kampuni yake ikabeba gharama za kusafirisha mwili mpaka kuja Tanzania. Kampuni yake inafanya mengi sana hata ubalozi watanzania Beijing unalitambua hilo bila kipingamizi chochote.

we ni mse nge yaani unakwenda china kununua bidhaa bila kujua bidhaa yako utaileta vipi utakuwa mfanyabiashara au matope? kabla ya hii kampuni ya kihuni hao wafanyabishara walikuwa wanaleta vipi bidhaa zao? watanzania wengine wanaofia ughaibuni ambako hii kampuni ya kihuni haipo miili yao hutupwa barabarani na kuliwa na mbwa au huletwa nyumbani? get back to your senses au wewe mkewe saalah?
 
Nyerere alidhulumu mali za watu akidhani ataneemeka matokeo yake ameenda kufia UINGEREZA kakuacha we bado ni MBWA WA MANZESE tu unakula majalalani!

Kikwete anatoa nafasi kwa watu wenye fedha Kuiwakilisha Nchi yetu sio Watu njaa ka babako! Au hao wabadhilifu wa kigalatia!

Nyie watu maskini wa fikra ni sawa na Ebola tu.
Km mimi ndio kiongozi nakugeuza chakula cha simba tu serengeti!
unaweza kutafuta namna ingine ya kutetea jambo kwa hoja ila si kwa hoja zenye kila dalili ya udini.
I am a Muslim but i cant argue this way.
 
Sasa balozi wa heshima wa Guangzhou ulitaka asiwe karibu na viongozi wa nchi anayoiwakilisha?

Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Ni kweli Faiza inawezekana tunasomea ujinga lakini nijibu basi ni vigezo vipi vinatakiwa ili apewe ubalozi wa heshima?
Ukiweka vigezo hivyo unaweza kututukana matusi yote upendayo!!!
 
unaweza kutafuta namna ingine ya kutetea jambo kwa hoja ila si kwa hoja zenye kila dalili ya udini.
I am a Muslim but i cant argue this way.
Ndugu yangu kazi tunayo!!!! Uislamu wa huyo balozi wa heshima uko wapi?
Kasomesha wangapi kw apesa zake?
Kasaidia maskini wangapi?
Katoa zaka inavyotakiwa?
Umemjibu vizuri!
 
10401544_686074854761423_1680553499_n.jpg

with inister of Home affairs Mr. Mathias Chikawe

duh....
 
unaweza kutafuta namna ingine ya kutetea jambo kwa hoja ila si kwa hoja zenye kila dalili ya udini.
I am a Muslim but i cant argue this way.
Wewe utakua mgeni humu,here we dont pull punches..hawa jamaa unaweza dhania malalamiko yao yako legit lakini huwa wanalo la moyoni hawalisemi sasa usipowa suppress kwa style hiyo,wanakupanda kichwani haraka munoo.
 
Habari za Yesu unazijua wewe ,sisi tunaishi kwa uhalisia uliopo hao watu hamsini ni kweli unafuata utaratibu ?.Unalipa kodi ya Serikali au n kwa sababu umeamuamtu kujipambanua huku jukwaani sababu hauhojiwi?Hivi mtu masikini anafananaje !!!!!!???.Inawezekana wewe ni masikini tena mkwepa kodi sema tu hujitambui.

Anazijua kadinali Pengo na mwanya wake!
Mi nikijuacho ni kuwa Wengi wenu bado ni watumwa kiakili.

Mnaabudu picha ya mzungu na sanamu lake mpaka leo 2014!
Hio ni akili mbovu kuliko akili zote ulimwenguni.
Pili.
Wakati nyerere anaajiri MAPADRI wasio na elimu Na kuwapa WIZARA Nyeti km za ELIMU hakuna muefeso hata mmoja alipiga kelele.
Na bado mlikuwa mnamtungia nyimbo za kumsifu.
Leo kikwete kuchagua watu ambao nafasi ya wao kuwa wabadhilifu ni ndogo mnapayuka na kufunga kanga kiunoni na kuropoka ovyo!

Nyie wagalatia kwakweli ni Majanga tu!
Bora ikiwezekana mrudishwe kwenu kongo mkamalizane.
 
unaweza kutafuta namna ingine ya kutetea jambo kwa hoja ila si kwa hoja zenye kila dalili ya udini.
I am a Muslim but i cant argue this way.

A muslim can not bring an argument without a valid Reasons for it!

I can smell a piggy here!

Kipi nilichoandika hapo juu kina dalili za udini!

Au kusema Nyerere aliwapa nafasi wagalatia Ni UONGO?
We ulitaka niseme "aliwapa nafasi watu wa imani yake? Au waefeso?

We km huijui historia ya nchi hii bora ukae kimya tu!
 
Katika kichwa chako muda wote unawaza bange tu na unafikiri wengine wana mawazo ya kilevi kama unavyowaza wewe,"ALIWAZALO MJINGA NDILO LINALOMTOKEA".Kuwa na mawazo mm'badala mkuu.

Haya maneno ungemwambia SLAA anaeimba kila mara kuwa Anataka Kuhalalisha GONGO!
Na hio methali ya Analoliwaza MJINGA mpelekee huyo anaetaka Kuhalisha Kinywaji HARAMU kinachouwa Watu Ovyo kila siku.

Chadema Mna balaa ya Uchache wa Mawazo!
Hii ni hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu maskini.
 
Galatiaa lolote hata akili hirudi saa nane usiku

Hivi hz chuki zenu zitawafikisha wapi

Hivi inatambua shida wa tz wanazopata guanzou nyie kizazi kilicho laanika

Hivi mnafahamu hawajamaaa wanawasaidia watanzania wangapi

Galatians chuki zenu acheni
 
Wewe utakua mgeni humu,here we dont pull punches..hawa jamaa unaweza dhania malalamiko yao yako legit lakini huwa wanalo la moyoni hawalisemi sasa usipowa suppress kwa style hiyo,wanakupanda kichwani haraka munoo.

Mkuu huyu jamaa ni muefeso tu anaetembea na Kibalagashia.
Huwezi kutetea Utumbo namna hii bila kuwa na point muhimu.

Angesema Kipi nimesema ambacho HAKIFAI! sio Kutaja Uislamu hapa!

Hawa watu wana sura nyingi sana.
Hata mrema akivaa kile kibalagashia chake akapita fasta unaweza kudhani ni mdogo wake na Shehena Jongo!
 
Habari za Yesu unazijua wewe ,sisi tunaishi kwa uhalisia uliopo hao watu hamsini ni kweli unafuata utaratibu ?.Unalipa kodi ya Serikali au n kwa sababu umeamuamtu kujipambanua huku jukwaani sababu hauhojiwi?Hivi mtu masikini anafananaje !!!!!!???.Inawezekana wewe ni masikini tena mkwepa kodi sema tu hujitambui.

Wewe ni maskini tena sio wa mali bali akili

Wewe unaoneka hata chakula unacho nunua kula wewe unalalamikaaa

Soma alicho semaa heri huyo kaajiri watz 50 wewe unaweza kua wale wapendao rushwa na zulmaaa
 
is this your end of thinking as Great Thinker?

Mind your own business!
I never engaged a conversation with you!
Where are all this Fussy came frm!
Did you drink too much of that blood of jesus today! Or what?

You seems to care a lot about me pal.
Get off my way before you regrets!
 
Hajafanyiwa vetting na wala haku pass hiyo due diligence hivyo ni threat to our national security & interest

5ceda698ae8811e382ef125cd204e408_8.jpg

On the first class with SAMUEL SITTA

Mzee wa kulamba viatu! kama ile ataishi milele!!
 
Hizi nipicha zakitambo sana. Bw. Salaah sihuyu wasasa kwenye hii picha. Infact those are private issues.
1516445_1437879976444670_315261679_n.jpg

Yaani hii picha unaita private issue? hivi kweli mtu kama huyu ambae anamiliki bastora 3 na inawezekana ana silaha zaidi ya hizi je tujiulize silaha kama hizi ni kwa ajili ya nini? na inatakiwa ujue kiongozi bora ni yule aliye na historia njema ya maisha yake tangu ujana.
 
Back
Top Bottom