Boss Lady ''a-update'' kurasa yake ya instagram....

pole myn,am happy to see u again.akirudi bongo wale waliomchamba wakae chonjo .maana masogange karudi tu kashachukua na mjumba wa maana masaki sijui if am nat mistaken

asante my dia niko salama now.........Masongange kachukua Mjumba Masaki Lol hii biashara ni hatari lakin salama
 
Ntakasi

hivi mnaomtetea jacky mna akili timamu kweli.?
By the way naomba unisaidie MNAUPATAJE HUO U-JASIRI,NA MIMI NINA UHITAJI NISAIDIENI JAMANI..

Sitetei 'upunda' wake bali sipendi attitude ya 'u-roho mbaya' ......we dont know her story,kwanini tusinyamaze na kusikiliza shauri zima?.......Watu tunahukumu tuuuuu?Mara Anyongwe...Mara Asiachiwe....Pretenders wengi wanajifanya wana uchungu wa vita ya madawa ya kulevya to hide their burning desire ya kuwaona watu wengine miserable.....Tukemee linalostahili,Chuki hazina nafasi kwa taifa linaloendelea....
 
Last edited by a moderator:
Achana na nguvu ya pesa. Aliye waambia duniani kuna haki ni nani? Aliye waambia unga ni biashara ya watu wadogo ni nani? Aliyewaambia dunia inapiga vita biashara ya unga ni nani?
 
JAN152014
[h=3][/h]



[h=3][/h]
Jackie Cliff
Bado hakuna anayejua undani kuhusu picha inayoonekana kapost Jack Clief ambaye inasemekana kakamatwa huko Macao nchini China ingawa taarifa hizi mpaka sasa hazina uhakika,kuna watu wanajiuliza kama kakamatwa je karudi uraiani??na kama yuko uraiani mbona pia familia yake bado haimpati kwenye simu?

Jack Clief inavyonekana kapost picha hiyo leo akiwa kavaa kofia nyeusi iliyoandikwa Kenzo ,top nyeusi na pensi aliyowahi kuonekana nayo kwenye picha zake kadhaa na katika post hiyo chini ya picha aliandika alama ya vidole viwili tunajiuliza kama kweli alikamatwa na je na kama hakukamatwa mbona kawa kimya kipindi kirefu tangu taarifa hizi zianzwe kusambazwa au kuna mtu kaingia kwenye akaunti yake ya Instagram na kupost picha hiyo,kandili yetu inafuatilia suala hili ili kukupa habari kamili



 
alisema hivo hata mimi nilimsikia pia

Watu wanajiamini sababu wanajua wanaprotection... Mtu wa kawaida tu unaanzaje kufanya hyo biashara. Na hizo nchi zenyewe zenye sheria hizo... hongera zao. Ila ipo siku tu
 
Atakuwa bwana wake JUX anatafuta kiki mjini, yaani juzi JUX kaongea kwamba ameongea na kack kwenye skype kamwambia Yuko ok na leo Jack ka update status yake instagram kweli ina make sense, Huyo ni JUX kwa kuwa jack alikuwa mpenzi wake kuna uwezekana 100% anayo password yake, so kaamua ku update status ionekane kama jack yuko nje.. Naona JUX kwakuwa yeye ajasoma ndio anadhani watu wote Awana akili kama yeye....NYAMBAFFFU
 
Atakuwa bwana wake JUX anatafuta kiki mjini, yaani juzi JUX kaongea kwamba ameongea na kack kwenye skype kamwambia Yuko ok na leo Jack ka update status yake instagram kweli ina make sense, Huyo ni JUX kwa kuwa jack alikuwa mpenzi wake kuna uwezekana 100% anayo password yake, so kaamua ku update status ionekane kama jack yuko nje.. Naona JUX kwakuwa yeye ajasoma ndio anadhani watu wote Awana akili kama yeye....NYAMBAFFFU

Si ndio hapo sasa... ila ukute wanaandaa mazingira ya kumtoa. Si unajua tena...lisemwalo lipo
 
Back
Top Bottom