leo nilikua nataka kutoroka job nije dar kwa ajili ya pasaka, bad enough jana nilifanya blunder la kufa mtu, so nikashindwa kuondoka leo, nikaja ofisini kukutana na bosi na akanifundisha kufoji kitu, duh atleast sasa nina ahueni, naondoka sasa.
to be honest mabosi wengine wamekuja kama blessing