Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

gongotamu

Member
Nov 11, 2010
20
1
Wana jf

Niko katika wakati mgumu. bosi wangu ananitaka kimapenzi, nimejaribu kumpotezea naona nakwama. sasa ameandaa safari ya kikazi mimi na yeye tu, halafu hataki twende na gari, anataka tukwee pipa ili dereva asiende. mimi naogopa maana ni hatari katika kibarua changu, nifanyeje jamani?
 

vipi anamvuto?
 


NiPM contacts zake nitakusaidia!
 
Kwani bosi wako ni she/he?
 
Usijekuta tayari ana silaha za maangamizi. Hata hivyo kila mtu anakuwaga na hisia zake kwa mtu. Ni haki yake kukutaka ka wewe unavyotakaga mademu. Ukiridhika na idara zote mzee mega tuuu.
 
we piga tuu!
 
Usijekuta tayari ana silaha za maangamizi. Hata hivyo kila mtu anakuwaga na hisia zake kwa mtu. Ni haki yake kukutaka ka wewe unavyotakaga mademu. Ukiridhika na idara zote mzee mega tuuu.


upo sahihi mzee
 
of couse amekamilika kila idara. anakata kilaji mno. naogopa kuwa mtumwa maana kila atakachokuwa anataka nikubali!
 

kama vipi vipi tu, suala ni usalama wa mali na kazi yako mkuu
 
Gonga tu - Play Safe

Mnyweshe Mi-valuer ming na Mi-wine na Mi-amarula akishalewa kula kiulaini tu!

Kwa nini umnyime bana?
 
Hukutakiwa kuomba ushauri,kwa hili.
hivi ukimkataa huhatarishi kibarua chako pia?
MEGA
 
Mkimbie kama ukoma!
 

kiongozi kuna cha kuoji tena apo kwea pipa ukakandamize mambo ayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…