mwasamasole
Senior Member
- Oct 25, 2015
- 106
- 119
Sijui kwanini bahati kama hizi hazitutokeagi sie wengine,Mimi ni dreva na bos wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bos wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia je naweza kosa kazi? Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu? Ushauri wenu wana jf
Inaonekana unatudharau sana sie wakulima wa njugu mawe huku Makojo na MugangoKwa Lengo la kulinda kibarua chako wee piga mzigo ila Utumie kondomu!!
Ukipuuza ushauri yangu utarudi kijijini Kulima njugu mawe
Ungemsaidi tu ndugu ! fanya kama unatoa sadaka.Mimi ni dreva na bos wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bos wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia je naweza kosa kazi? Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu? Ushauri wenu wana jf
Mpe mambo wala usijicheleweshe na hiyo FURSAAAAMimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia.
Je naweza kosa kazi?
Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu?
Ushauri wenu wana JF