Halafu wanasema hawapati faida kwenye makinikia.Kuchoma mafuta na Gulfstream 650 kutoka Canada to Dar. sio mchezo,ujuwe kweli tumewashika pabaya,walikuwa wanatumia Email na simu sasa hivi wameona huyu jamaa bila kumtokea hakitaeleweka..
Haikuwa kwenye ratibaOpps, nilifikiri angetua Nairobi Hospital kumwangalia Tundu Lisu!
Kaja kufanya nini si alipe hizo hela, tupewe Noah zetu.....√√√
Wazungu ndiyo wapo vizuri kwenye kutekeleza ratiba zao....Haikuwa kwenye ratiba
Utaziona tu. Atapelekewa Mbowe. Atakuonyesha.Hata zikilipwa cjui Kama ntaziona
Mafanikio yapo kutembea si hoja tra wamepigwa kibuti deni lao au nao watalipwa sehemu yaoKuchoma mafuta na Gulfstream 650 kutoka Canada to Dar. sio mchezo,ujue kweli tumewashika pabaya,walikuwa wanatumia Email na simu sasa hivi wameona huyu jamaa bila kumtokea hakitaeleweka..
Mazuzu wanaongezeka, ukisomesha manamba akili zao ndio hizi. Malipo ya Barrick yanamhusu nini MboweUtaziona tu. Atapelekewa Mbowe. Atakuonyesha.
Ha ha ha. Hilo povu nenda kufulie nguo zako.Mazuzu wanaongezeka, ukisomesha manamba akili zao ndio hizi. Malipo ya Barrick yanamhusu nini Mbowe
Sio povu, jibu hoja CCM tumepungukiwa na wajibu hoja mahiri tumeweka watu wa mzahamzahaHa ha ha. Hilo povu nenda kufulie nguo zako.
Mimi ni kamanda, sio ccm.Sio povu, jibu hoja CCM tumepungukiwa na wajibu hoja mahiri tumeweka watu wa mzahamzaha