Bosi kamwambukiza UKIMWI rafiki yangu.......................USHAURI!!!

Bonge mimi nafikiri kitu cha msingi, msaidie huyo dada kumkutanisha na mpenzi wake maana ndiye atakaye weza kumfariji emotionally. Hata kama jamaa atampiga kibuti asifanye kijeshi kijeshi aende naye taratibu hata akitaka mavituzi atumie kinga. Mapenzi hata kwenye Ukimwi yanawezekana ni kuwa makini tu.
 
Siamini kama ukishapima mara moja ndo majibu sahihi!!! Nimefanyakazi sana na watu wenye virus, nimeshakutana na cases ambazo mtu anapimwa leo ni positive kesho anaenda tena au sehemu nyingine na anakutwa ni negative or viceversa, so atulie asubiri miezi mitatu aende tena! thats all
 
Malaya huyo, hanalolote, , unakunywa bia za bure halafu unadai unafanywa bila condom.Kwanza kwanin unapo kua kwnye date unywe pombe, je pombe unazimudu vipi? uzembe na kutok kua makini kumemfikisha hapo, aishi kwa matumaini , UKIMwi sio kifo ni hali tuu , afuate masharti, akumbuke kua yeye ana bahati ya kuufuata ukiwmi kunawengine Umiwi una wafuata wao bila kutaka (Wanao pata maambukizia wakati wakuzaliwa na wanao ambukizwa mahospitalini kwnye ajali na kwa uzembe usio husisha ngono) ajihesabu kama ni mmoja wenye bahati, kwa vile amesha jigundua mapema , basi aanze kujipanga kula vizuri mazoezi freshi na AVR mapema , zitamuongezea siku zaidi ya wale wanao chelewa kuanza dozi.
Bado tu Wajinga wanadai pombe ni starehe nzuri sana nakati mbali na maambukizi pia husababisha sodomizing/uf*r*ji kupatikana kirahisi kama huyu dada yalivyomtokea kwa kutojitambua kiakili.
 
Back
Top Bottom