Borrow Kagame ,Why not?

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Let me say this,it might sound strange ,indeed stranger than fiction but hell desparate times call for smart albeit unconventional moves. In less than four month we "celebrate " 50 years of Uhuru,yes half a century of self rule and sadly with very little brag about.For most of us securing daily meal is an uphill task,now we survive on a meal or two daily. The goverment has failed to provide clean water for majority of citizen,education sector in shambles.Healthcare non existent or simply overpriced well beyond my daily income of less than a dollar or two daily. Yet across the border i witness miracle. In brief 17 years following 1994 genocide president Kagame has built a nation, a model nation for the rest of Africa from scratch. How he did it,how he came by it, never ceases to amaze many. This may sound farfetched ,why not borrow Kagame angalau muhula mmoja tu to put our house in order?
 
Mkuu, hebu tueleze vizuri huyu jamaa yako amejenga kitu gani, Uchumi? GDP yao ikoje? wana foregign reserve kiasi gani? amejenga barabara, shule, hospitali mpya ngapi?, ametoa watu wangapi kutoka kwenye mstari wa umaskini? etc, etc.

(Nota Bene: Ile vita waliyopigana walijitakia wenyewe sioni ni sababu gani tuanze kuwasifia kumbuka sababu zilizowafikisha pale. Rwanda bado ni nchi isiyo na Demokrasia jamaa yako anawakamata na kuwafunga wapinzani na pia kutishia kuuwa wengine. Nchi bado iko katika giza la nidhamu ya woga, ni kama ka-jipu/bomu kanakongojea kulipuka!. No, i wont borrow him, give me for free i wont accept him either!).
 
Kama wamefanya vizuri kwa nini usiwasifie na kuwaiga. Hawataki sifa za kijinga kama anazopenda JK. Kagame katulia nchini kwake anapiga kazi na matunda wengi tulio na macho tumeyaona. Rwanda itatoka katika kundi la nchi maskini duniani katika miaka 6 ijayo. Hayo ndio mambo ya Kagame na haendi kuomba misaada hovyo kwa wazungu, katulia nyumbani wanaendeleza rasilimali zao tu
 
Lete facts na figures acha maneno tupu, umeona kipi? kumbuka hata Museveni aliwahi kuwa 'darling of the west' kipindi fulani...
 
Lete facts na figures acha maneno tupu, umeona kipi? kumbuka hata Museveni aliwahi kuwa <i>'darling of the west' </i>kipindi fulani...
<br />
<br />
Museveni hivi majuzi amezuru Rwanda na kushangazwa na hatua kubwa ya maendeleo nchini. Soma The East African: Museveni mends fences,gets inspired in Rwanda.
 
Miaka 50ya uhuru tulitakiwa tuwe mbali ya hapa tulipo!
Tuna kila sababu ya kuwa na maendeleo kuliko kila nchi ya kiafrika ukizingatia utajiri mkubwa tuliojaaliwa na mwenyezi Mungu!
Nashikwa kigugumizi kuendelea kuchangia maana tayari napoteza mwelekeo wa thread!
 
<br />
<br />
Museveni hivi majuzi amezuru Rwanda na kushangazwa na hatua kubwa ya maendeleo nchini. Soma The East African: Museveni mends fences,gets inspired in Rwanda.

Rwanda ilipata Uhuru mwaka 1962, kelele nyingi ni kutafuta sympathy kwa vita za kujitakia (ukabila). Mpaka sasa bado ni nidhamu ya woga inatawala huko. Museveni anasababu zake, jaribu kufuatilia ziara zake ktk nchi za E.A.C huwa anazungumza kitu gani....

Tanzania fought numerous wars including the one against Uganda but she never look for a shoulder to cry on. Why Kenya which has never fought a single war since she gained her independence is still underdeveloped like the rest of the countries in the region which have experienced wars and instabilities (Recent incidents suggests that she can't even feed herself too)...Any figures, facts, reasons???
 
By Chika A. Ezeanya[/h]There are two black cities sitting on the map One named Kigali, one named Washington D.C Fly away Kigali, Fly away Washington DC Come back Kigali, come back my dear Kigali
And sit on the map.
"Chika! No! How did you pass through immigration with this?" screamed my hostess. She held out the plastic bag containing what I had carefully selected from the mall and packaged as her gift. Her large eyes were now the size of two akara balls, those delicious Nigerian bean cakes fried to perfection by the ever jovial grandmother at the side of the dilapidated road intersection. Her reaction shocked me. I stared first at the bag, then at the stiff hands that rigidly held it out, before looking at the eyes that spoke of something I could not easily tell. My heart began to beat widely, as if I had just completed a black coffee drinking competition where I downed 30 cups in 10 minutes. Surely, someone must have slipped in some banned substance into my carry-on luggage while I waited for my Kigali flight at Washington D.C.I stared at my hostess, as she repeated her question.
&#8216;Chika, you mean you were allowed to carry this past the security checkpoint?" Clearly she expected an answer and was waiting for it.
"Carried what?" I swallowed hard and looked inside the bag as bottles of perfume and some work shirts showed through. I summoned courage and took the bag, peering inside it. I dipped my hand in the bag, retrieved the shirts and started to shake them thoroughly, expecting to see some tightly wrapped white substance falling to the ground. Instantly, my hostess' eyes returned to normal and glowed; "What lovely shirts! How did you know I desperately needed work shirts? " She was unbuttoning to try on the shirts, as I stared at her.
One moment she was screaming and the next, her face was lit with joy.
"What did I bring that is not allowed in the country?" I ignored her questions as to how I guessed her favourite colour.
"Oh! The plastic bags. They are not allowed in the country. I don't know how you passed through immigration checks, they would usually seize it.'
"Are you kidding me? Plastic bags are not allowed in this country?"
"Yes. But never mind. I will destroy this. You must not be caught on the streets carrying plastic bags of any type. It will be confiscated."
Welcome to Kigali, Black man's cleanest capital city; a city synonymous with death in modern world history. From Kigali in 1994, orders were issued that mandated the elimination of ten percent of the population, the minority Tutsi. At the end of the blood chilling exercise, one million Tutsi and moderate Hutu men, women and children lay dead. The entire country and particularly the capital city was unfit for human habitation. Corpses at various stages of decomposition littered the narrow, potholed and dusty streets. Skulls, femur, tibia, fibula and other skeletal remnants - scraped clean by dogs &#8211; lay here and there. Thousands of homes were burnt down, government offices, hotels and hospitals had been raided and looted. Several technocrats, academicians, public intellectuals, civil servants, entrepreneurs had been murdered. Kigali was a dead city in 1994. Western interests, who watched unconcerned as the killings - of black people with neither oil, gold nor diamond to purchase their souls - lasted, wrote off the country as finished. Nevertheless, guilt money poured in. The derelict Kigali International Airport was awakened with vigour. Western "development" experts poured in; briefcase carrying men and women, with little or no experience in post-genocide reconstruction, brought their pale skins as "resume." A resume that most often grants the bearer unrestricted access to even the private bedroom of an African Head of State. In Rwanda, however, the expatriates were met with a different attitude. Paul Kagame and his freedom fighting men were not about to deliver the country into the uncaring hands of Western capitalist "development experts." As if he saw years ahead into the current crisis of development that has engulfed the West, President Kagame insisted that Rwanda must have a say in the terms of development of the country.At first, he was treated suspiciously; here comes another rent seeking African landlord, intent on corruptibly enriching himself with aid money. But President Kagame proved the doubters wrong. There are still men of dignity and integrity in Africa, men who care about their country and have vowed to give their lives for it. President Kagame happens to be one of them. He set to task with his team of carefully selected men and women, and began to rebuild Rwanda, economically, socially, politically, culturally and psychologically. Kigali city is spotless. The bus drivers and conductors are so clean you could hire them as your secretary on the spot, and plead with them to resume immediately. The markets are tidy, so tidy, you could sit on the floor and chill for a while in the midst of your shopping for organic fresh vegetables and fruits. The commercial motorcyclists are so well kitted, their motors so sound looking, that even a car owner would be tempted to ask for a jolly ride on them, every now and again. People are polite. There are no street fights going on between a conductor and an irate passenger, or a street hawker and a cheated buyer. Actually, there is no street hawking in Kigali. The time is 1:00 a.m. on Friday, and young and old are walking the streets, some drunk from partying, but everyone is happy. I do not know of any other country in the world as safe as Kigali. Kigali is safe. Black and white, red and yellow walk the streets at all hours without fear of a stray bullet, or of being the direct victim of attacks. Education is free and 98% of all residents have health insurance. The weather and environment in Kigali bear mentioning. While the extremities of the winter and summer in Washington D.C. could lead to bipolar disorder, or mild depression in the least, Kigali is the epitome of good weather. When it rains, it is just exactly as needed. When the sun shines, the weather retains its coolness. The pristine cleanliness of the air in Kigali, and the awesome 24 hour breeze, bear no comparison at all with the carbon monoxide passed around as oxygen in Washington D.C. The mountainous terrains of Kigali, the beauty of the unpretentious, earth coloured brick houses, portray life as real and cool, contrasting sharply with the blood pressure inducing structures choking up residents of Washington D.C., but being acclaimed as the apex of human civilization.In Rwanda today, the black man feels human and proud to be associated with his people. It must be made clear, that it was not the penance-like pouring in of money by the "repentant" West that built Rwanda. As much aid has poured into the Democratic Republic of Congo, Uganda, and Kenya, but these countries are nothing compared to what Rwanda is today. Rwanda is being built on the discipline of President Kagame and his team, their commitment to excellence, their tenacity in the face of several obstacles, and their uncommon resolve to transcend the temptation to visit vengeance.Yes, I will rather be in Kigali than in Washington D.C. where life for the average black person is aptly captured by the Hobbessian state of nature; nasty, brutish and short. Nasty, because from the moment you wake up in the morning, it is clear to you that the society in which you live detests you, and places no value on your person. Brutish, because the white police officer has a right to shoot you, just for being a black man. Short, because except you can afford the exorbitant health insurance, you will die in your bedroom from common infection for which no doctor will prescribe antibiotics. Yes, I will rather be in Kigali where I can work and see the fruit of my labour, where I am regarded for the content of my character and never the colour of my skin.
Kigali is where I am constantly reminded of the dignity of the black man and his tenacity in being able to rebuild his life from the scratch. Between Washington D.C. and Kigali, I will choose Kigali anytime, any day.
&#8226;Ezeanya wrote in from the U.S.

Let me say this,it might sound strange ,indeed stranger than fiction but hell desparate times call for smart albeit unconventional moves. In less than four month we "celebrate " 50 years of Uhuru,yes half a century of self rule and sadly with very little brag about.For most of us securing daily meal is an uphill task,now we survive on a meal or two daily. The goverment has failed to provide clean water for majority of citizen,education sector in shambles.Healthcare non existent or simply overpriced well beyond my daily income of less than a dollar or two daily. Yet across the border i witness miracle. In brief 17 years following 1994 genocide president Kagame has built a nation, a model nation for the rest of Africa from scratch. How he did it,how he came by it, never ceases to amaze many. This may sound farfetched ,why not borrow Kagame angalau muhula mmoja tu to put our house in order?

Tatizo sio leaders. Tatizo ni sisi wananchi wenyewe. Tunawakumbatia viongozi ambao hawana uwezo wa kutuongoza. We are not tough on our leaders. In other words, we should not borrow Kagame, but we should borrow Rwandans waje Tanzania na sisi tuende Rwanda.
 
Lete facts na figures acha maneno tupu, umeona kipi? kumbuka hata Museveni aliwahi kuwa 'darling of the west' kipindi fulani...

Hizo figure na facts unazotaka hata ****** wetu nae anazo-kumuka hizi ni rahisi mno kupika, penye neema hauhitaji hizo figure na facts, sisi wenye macho hatuhitaji kuambiwa uchumi umekuwa tunatala kuona neema imetamalaki!
 
Rwanda ni nchi ndogo kulinganisha na TZ,uongozi wa nchi umeamua kusimamia mipango na sheria walizotunga.sisi viongozi wameamua kuachana na usimamizi wa kauli mbiu zao na mipango iliyopangwa.
e.g
Tuna Gas, lakini viongozi wetu wanatumia petroli kutoka nje ya nchi.[magari ya serikali yangeweza kutumia Gas yetu]
Viongozi ,hasa wabunge wanachota hela bila uruma .eg. vikao,posho za kamati,mikopo ya magari
Serikali ingeweza kuendesha shughuli zake kwa kununua magari ya bei nafuu. e.g Toyota Rav 4 badala ya landcruiser V8.
Je unahitaji Takwimu za aina gani kuweza kujua kuwa Serikali yetu inavyofuja Pesa za kigeni.Kagame alitoa Amri hamna Serikali kumiliki Landcruiser VX,etc.hakuishia hapo,akapiga marufuku kwa NGO,DFP kufuja pesa kwa kununua magari ya Garama na Fenicha za garama ili pesa ya misaada itumike kwa wahusika na siyo ktk gharama za Administration na Posh offices in Kigali.

Watanzania tujifunze kwa kuangalia hali halisi ya nchi zilizofanikiwa Africa. nyingi hazina matumizi makubwa na ya kufuja kama nchi yetu.
Tungeanza na :
1.msafara wa Raisi.
2.Posho za Vikao
3.Posho za Semina Elekezi
4.Kupunguza Wizara na Manaibu Waziri
5.Kutumia Rasilimali zetu vizuri.

Tukiweza hayo na mengineyo hakika nasi tutakuwa mfano kwa nchi nyingine za bara la Africa
 
I love Ruanda and Kagame

I raely admare the progress they have achieved ...and in very shot time ..so huge development! ..etc etc!

We have a lot to learn from our just very neighbour..

BUT IN MY HEART ...I have never trusted Kagame; that ..he will not eventualy turn to a Monster or Dictator and go against his own peoplle even his neighbours!!
 
Hizo figure na facts unazotaka hata ****** wetu nae anazo-kumuka hizi ni rahisi mno kupika, penye neema hauhitaji hizo figure na facts, sisi wenye macho hatuhitaji kuambiwa uchumi umekuwa tunatala kuona neema imetamalaki!

Hivi Kunta bado hujaacha tu ubishi? mimi nimeomba figures na kama zimepikwa nitazitambua tu hata za huyo****** wetu unayemsema kama amepika nitazitambua. Msalimie Collymore!!
 
Rwanda ni nchi ndogo kulinganisha na TZ,uongozi wa nchi umeamua kusimamia mipango na sheria walizotunga.sisi viongozi wameamua kuachana na usimamizi wa kauli mbiu zao na mipango iliyopangwa.

Tataizo sio viongozi, tatizo ni sisi wenyewe kuanzia hapahapa jamvini...
 
Mkuu, hebu tueleze vizuri huyu jamaa yako amejenga kitu gani, Uchumi? GDP yao ikoje? wana foregign reserve kiasi gani? amejenga barabara, shule, hospitali mpya ngapi?, ametoa watu wangapi kutoka kwenye mstari wa umaskini? etc, etc.

(Nota Bene: Ile vita waliyopigana walijitakia wenyewe sioni ni sababu gani tuanze kuwasifia kumbuka sababu zilizowafikisha pale. Rwanda bado ni nchi isiyo na Demokrasia jamaa yako anawakamata na kuwafunga wapinzani na pia kutishia kuuwa wengine. Nchi bado iko katika giza la nidhamu ya woga, ni kama ka-jipu/bomu kanakongojea kulipuka!. No, i wont borrow him, give me for free i wont accept him either!).

unless unataka more comment au we ni magamba.
 
Back
Top Bottom