Boris Johnson kioo tuelekeacho UK

Boris Johnson kioo tuelekeacho UK

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
710
Reaction score
1,366
Wadadisi wa siasa za kimataifa wanatuhabarisha kwamba Bwana Boris Johnson ambaye ni Waziri wa mambo ya Nje ya UK anapewa nafasi kubwa ya kumrithi Mama Teressa May ambaye amejiuzulu hivi karibuni.


Boris Johnson ni mtu mwenye misimamo mikali kama Rais Donald Trump.

Tusubiri muda utaongea hivi karibuni.

Alex Fredrick
Dar es salaam
 
61286539_2651201105106572_2281461106939527168_n.jpg
 
Kwa elimu ya bongo ilivyo kuna kizazi kitakuja kumsoma Bi Theresa May kwenye madesa.
 
Hata kama ana msimamo mkali.

He needs to work with others. Hakuna namna atakwepa. Brexit ni msala. Akicheza nao inakula kwake. Huyo jamaa anaita Africa ni nchi badala ya bara la Africa?
 
Back
Top Bottom