Boresha quality ya sound kwa kutumia hii software

Boresha quality ya sound kwa kutumia hii software

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Kwa jina inaitwa Fx sound zamani ikiitwa DFX, ni software nzuri kwa ajili ya kuboresha quality ya audio pindi unapozi play kwenye computer yako. Inafanya kazi ya ku restore quality utapata high definition audio. Baada ya ku- install utasikia tofauti kubwa sana.

Jaribu ulete mrejesho.
Naweka link ya kui-download, file lipo ktk zip utafanya ku-extract installion ni easy & straight forwad.

dfx.png

fgf.png


Download hapa
 
Naweza kuipakua, then nikahamishia setup 'kwenye PC?
 
Hapana sio ya simu ni ya PC.

Jamani tupeni na sisi ya kwenye simu basi Poweramp ndio hivyo wiki 2 tu utamu unaisha.

Tunaomba ya simu inayofanya sound nzuri. Jet audio plus sijapata iliyochakachuliwa msaada please.

Thanks In Advance.
 
nzuri sana .sijui unaweza ukawa na code zake maana nimiona hapa ni free masaa 23 tu
 
Poweramp kuitumia kwenye simu inawezekana ila inabidi uwe umeroot simu yako na kuichakachua kwa luckypatcher unapata full version
 
Back
Top Bottom