Partyrobert
Member
- Apr 29, 2015
- 51
- 5
"jamaa 1 alizamia semina ya wasomi iliyofanyika ubungo plaza; watu wakaanza kujitambulisha wa 1; Naitwa Anna niko SUA mwaka wa2 nasoma Agriculturist
WA2; naitwa alex nipo UDSM mwaka wa3 nasomea public relations
wa3; naitwa Scholla niko UDOM mwaka wa3 nasomea computer science
Jamaa; kwa kusuasua sana huku akijishtukia naitwa Erasto niko TANESCO mwaka wa 8 nasoma MITA,
(dah balaa hii)