Aibu: Baada ya mbulula mmoja kuvamia kikao cha wasomi

Aibu: Baada ya mbulula mmoja kuvamia kikao cha wasomi

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,275
Jamaa mmoja alizamia semina ya wasomi ilofanyika Ubungo Plaza;
Watu wakaanza kujitambulisha;
Wa 1: Naitwa Anna, niko SUA mwaka wa pili nasoma Agriculture Engeneering.
2: Naitwa Scholla niko UDSM mwaka wa tatu nasoma PUBLIC RELATION.
3: Naitwa Alex nipo UDOM mwaka wa tatu nasoma Computer Science
JAMAA:Kwa kusuasua sana huku akijishtukia, naitwa Wiliam,
niko TANESCO mwaka wa 8 nasoma MITA.
Watu haaaaaa!
 
Back
Top Bottom