Manyanyaso
Member
- Dec 14, 2009
- 7
- 1
Ni kwa mara nyingine tena Serikali ya CCM imewathibitishia watanzania kuwa wao ni wapofu wa Akili na siyo wapofu wa macho.
Kitendo cha Spika wa Bunge na wabunge wao wa magamba kuusoma tena bungeni mswada wa Katiba mpya licha ya Raia, Wanaharakati na Wasomi kukataa mswada huo usiende Bungeni kufuatia mapungufu yaliyokuamo ktk Muswada huo. Hoja iliyowakilishwa na wabunge wa kambi ya upinzani Kupiti Mh. Tundu Lisu (MB) ilikua inamantiki na malengo yaliyojitosheleza kuonesha ni kwa nini hatuna haja ya kusoma muswada huo.
CHAMA CHA MAGAMBA kinaonyesha dhahiri shahiri kuwa nia yao ni kuwaburiza Watanzani kwenda kuwatumbukiza ktk shimo refu kwa maslahi ya wachache na siyo UMMA. Kitendo hiki ni kitendo cha Kihaini na kuihujumu nchi na hasa kizazi kijacho.