Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,216
- 3,117
- Thread starter
- #21
kwa hivi sasa anashindwa kumwaga mkojo wa kiutu uzima....hapigi baomke ndo mwenye shida, tujiulize hapo mke alishawahi kuzaa? ama Mume aweza kuwa na shida pia, tujiulize hao watoto anaosema ni wake alishapima DNA?
Ukinipa jibu naweza jua cha kushauri.