mm ciipendi ccm ila kwa chadema bora ccm mara 1000 ni wabaguzi wa dini ndo mana chama chao maeneo ya wakristo ndio wanaoshabikia wanahubiriana siasa kanisani ccm imekua na nguvu kwa sababu haijali dini wala kabila na ndio kitu wanachokupigeni bao
Kumbe na wewe ni miongoni mwa wanaofikiria kwa kutumia masaburi,gamba gumu tu wewe huna jipya kibaraka wa magamba
MaCCM bwana!!!!!
Ukoloni ulikuja kwa nguvu isiyo ya umma, CDM inakuja kwa nguvu ya umma. Unahitaji nguvu sawa au zaidi ya ile ya umma ili kuizuia the same
Tatizo la chadema kila mtu mtunga uongo au mshabikia uongo
Hata ccm ikiondoka ni bora kije chama kingine chochote au hata jeshi lakini sio hawa CHADEMA anayebisha tutatafuta
Ccm ina makosa . Sawa. Je chadema haitakosea. WANANGANGANIA nchi nini hasa nia yao hawa CHADEMA