Habari zenu Great Thinkers, Kama mtakumbuka niliwahi kuposti thread moja hapa tarehe 21 october 2011 ili nipatiwe ushauri mada ilikuwa https://www.jamiiforums.com/mahusia...3-nipo-njia-panda-naomba-msaada-kwa-hili.html.
Kiufupi ni kwamba nimeachana na mchumba wangu rasmi (kaniacha). na kutokana na machungu niliyonayo nahisi sihitaji mtu kwenye maisha yangu, Nimegundua hakuna kitu Kinoitwa mapenzi siku hizi, ingawa msichana huyu nilimpenda kuliko kitu chochote na kujitahidi kumsaidia na kwa hali na mali.
wazee wangu na ndugu hawatanielewa, ila sina jinsi, na sitarudi Tanzania.
Maana najua wazee na ndugu watanishinikiza nioe, kitu ambacho nishakitoa moyoni mwangu.
Kilichobaki huku ni kazi na kuangalia maisha yangu tu.
Shukrani zangu za dhati kwa walionishauri wote.
Hongera kwa kuondokana na stress na kujua nini ni muhimu kwako.
Don't jump to any hasty conclusions and judgement...jipe muda wa kupumzika na kufanya mambo yako mengine baadae utajagundua kwamba she did you a favor by leaving you na utakutana na mwingine ambae anastahili mapenzi yako.
Purple and green don't be silly....kwani huyo msichana ulimpenda kwaajili ya wazazi wako???Wao ndio walikua kwenye mapenzi nae au wewe???MAN UP....kama uhusiano sio mzuri kwako unaachana nao kwasababu ukiendelea ukijakumbwa na mengine utaumia wewe na sio wao.Besides...wewe ndo umeachwa...surely ukiwaambia hivyo hawatakua na ujanja unless wakamlazimishe msichana kukurudia. Alafu unaogopa kurudi bongo kwani watakuua???
Kawaida uki break up unakuwa na strong emotions kama anger, fear, sadness. despair, gulty nk. Hivyo ni vitu kwa kawaida. Ila after grieving kumbuka kuwa moving on is the end goal. Kueleza feelings zako hapa itakusaidia kwa njia moja au nyingine lakini la muhimu ni kuto-dwell on the negative feelings or to over-analyze the situation.
Getting stuck in hurtful feelings like blame, anger, and resentment will rob you of valuable energy and prevent you from healing and moving forward.
Remind yourself that you still have a future. When you commit to another person, you create many hopes and dreams. It's hard to let these dreams go. As you grieve the loss of the future you once envisioned, be encouraged by the fact that new hopes and dreams will eventually replace your old ones.
Nimekuelewa, Unahisi ni kawaida ila I dont see the point of finding someone na kwangu mm sio rahisi kujihusisha na msichana. sina hisia na kuwa na msichana, kwa kweli mapenzi sina tena.
Nimeshapoa na naendelea na shughuli zangu kama kawaida. Wacha tu niishi mpaka mda wa kuondoka ufike nijiondokee.
Ni bora ili single tuongezeka ...
Ni bora ili single tuongezeka ...