Nashukuru mkuu; ila huyo dem ananisumbua mara kwa mara kwa sms na kunipigia
Yaelekea tayari na wewe una hamu ya kukutana na huyo dada sasa hapa tunaweza kukushauri weeee lkn hutaweza kuuchukua ushauri wetu kwa jinsi unavyojibu baadhi ya post. Sasa mkuu wewe unaonaje je uonane nae au umpotezee fikiria kwa kina moyoni mwako halafu fuata moyo wako utakavyokutuma.Nashukuru mkuu; ila huyo dem ananisumbua mara kwa mara kwa sms na kunipigia
Fursa hiyo unaiachiaje?
Ila nawewe inavyoonyesha unataka taka hivi.
Sababu watu wamekushauri mpotezee bado unasema anakusumbua, haya baba kupanga ni kuchagua. Hapa unashauriwa tu maamuzi ya mwisho unayo wewe.
Fursa hiyo unaiachiaje?
Nashukuru mkuu; ila huyo dem ananisumbua mara kwa mara kwa sms na kunipigia
Mpigie tena bwana ake...mwambie demu wako ananisumbua mara kwa mara kwa sms na kunipigia...yani fanya kama mara ya kwanza alivyokuporomoshea matusi...Nashukuru mkuu; ila huyo dem ananisumbua mara kwa mara kwa sms na kunipigia
Mama mmoja kakosea namba na kutuma sms ya matusi kwangu. Mi kwa ustaarabu nikampigia na kumweleza kwamba kakosea. Kwa hasira akaniporomoshea matusi eti mi niko na huyo jamaa yake na ndo kanipa sms nisome. Mi nikamwomba anitajie namba ya huyo mtu alotaka kumtumia .... kunitajia kumbe alikosea namba moja tu.
Mi nikachukua jukumu la kumpigia huyo bwana na kumweleza kwamba dem wake kanitusi kwa bahati mbaya.
Baada ya kama wiki hivi; huyo mama kanipigia na kuniomba samahani na kutaka kunifahamu .... Je! nimruhusu au nimpotezee?
Hata wewe sitokaa nikupotezee.