Bora nipate ngoma ila si MIMBA!!!

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
"Hapa na pale, vuta ni nivutike, ilikuwa pata shika, jamaa aliamua angalau na yeye aweke kumbukumbu katika maisha yake ya upweke kwa kuanza na familia.
Masaa yalipokaribia, kijana alijituma kwa maandalizi balaa ila ikashindikana alipoonyesha waziwazi kwa mpenzi wake kuwa anatakaa aongeze idadi ya raia'. Mdada kuona alama za nyakati na tarehe hizo basi akaondoka speed kubwa nakusahau kabisa kama alishaanza maandalizi'. Mzungu wa nne ukamkumba mheshimiwa na hivi anajiuliza', NINI KISA?, WAKATI HAUJATIMIA? TARATIBU HAZIJAFUATWA?
NAPENDWA? AU SIPENDWI?
NIFANYEJE?

Wadau habari ndo hiyo!!!!!!!!!!!!!!! Karibu na Mawazo mbadala
 
Angemuuliza huyo dada...sisi hatuwezi kujua sababu binafsi aliyokua nayo!Wengine hawataki tu bila sababu za kueleweka...wengine hawana uwezo pengine huyo dada alikua mmoja wao!Kuna wengine wanakua walikubuhu kwenye kutoa mimba mpaka wanapota watoto uwezekano wakuwapata unakua hamna tena!Waulizane!
 
"Hapa na pale, vuta ni nivutike, ilikuwa pata shika, jamaa aliamua angalau na yeye aweke kumbukumbu katika maisha yake ya upweke kwa kuanza na familia.
Masaa yalipokaribia, kijana alijituma kwa maandalizi balaa ila ikashindikana alipoonyesha waziwazi kwa mpenzi wake kuwa anatakaa aongeze idadi ya raia'. Mdada kuona alama za nyakati na tarehe hizo basi akaondoka speed kubwa nakusahau kabisa kama alishaanza maandalizi'. Mzungu wa nne ukamkumba mheshimiwa na hivi anajiuliza', NINI KISA?, WAKATI HAUJATIMIA? TARATIBU HAZIJAFUATWA?
NAPENDWA? AU SIPENDWI?
NIFANYEJE?

Wadau habari ndo hiyo!!!!!!!!!!!!!!! Karibu na Mawazo mbadala

Duh sijaelewa ngoma na mimba vimehusianaje hapo.
 
Hebu isome kwa makini...ukielewa nieleweshe...
 
na mimi nimekwama sijaelewa bado

Anamaanisha kuna mshkaji ametangaza ndoa na maandalizi yameanza!Ila alivyoanza kumwambia mwenzie mipango ya kuanzisha familia a.k.a watoto akakimbia!!Kwahiyo anachouliza kwanini amekimbia hilo swala?
 
hii bora ngoma kuliko mimba inaingiaje hapa.....hivi ulikuwa unataka kusema nini....hebu jaribu kuiweka kwa lugha ya kwenu labda tutaelewa
 
Du preta na wewe Avatar yako inanichanganya..........

Nadhani mpaka nimepoteza nilichokuwa nataka kuchangia hiyo post bas nimegive up...:embarrassed:
 
hii bora ngoma kuliko mimba inaingiaje hapa.....hivi ulikuwa unataka kusema nini....hebu jaribu kuiweka kwa lugha ya kwenu labda tutaelewa

nadhani anamaanisha walizoea ku doo bila condoms na binti hakuwa na problem kabisa,sasa jamaa alipoweka idea ya kupata mtoto bibie akasepa. Naona ana shangaa inakuaje haogopi kupata ukimwi ila anaogopa mimba
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom