Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza...
Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia