Bora nimwache aende tu

Bora nimwache aende tu

Usiudhunike wala kujishusha na usikate tamaa pia. Wewe ni wa thamani zaidi ya hayo madhaifu uliyoyataja...wewe si mlemavu wa kuànza kuuzunika hivyo kuna wanaume wengine hivyò ulivyovitaja ndo wanavipenda kwahyo utampata aliesahihi kwako.
 
Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu

Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao

Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza...

Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Mungu atakuuajalia utampata atayakayekupenda zaidi ila unatakiwa ujipende na uwe na amani na furaha hili ndo la muhimu
 
Meno mekundu ndio yako vipi??

Usikate tamaa hivo Mungu ametuumba kwa pair, tatizo tuna haraka sana na mambo ambayo yanahitaji ustahmilivu, utapata wako zidisha ibada Mungu hua anajibu maombi ukimuomba kwa nia

Jifunze kujithamini nakujipenda mwenyewe kwanza mengine yatakuja baadae
Yatakuja baadae??hata tako??
 
Tatizo kubwa ulilonalo na unatakiwa kuliacha upesi/haraka sana ni KUTOJIKUBALI,hilo ni tatizo,hebu jikubali,jipende, kuwa msafi,badili muonekano wako labda umezoeleka kila siku na madera/vijora yani hauna muonekano mpya kila siku uko hivyohivyo,tumia urembo kidogo(sio mkorogo)yaani jaribu kwenda na wakati japo kidogo,.mm naamini hakuna MTU mbaya duniani ni vile unavyojiweka tuu,..badili mtazamo wako na mfumo wa maisha unao ishi.
 
Sijaelewa alikua cha ana mimba Mara alifariki mikononi mwako mmmm sasainakuaje yote yafanyike kwa wakati mmoja mmmm
 
Tatizo kubwa kwa sasa naloliona mie wanawake na akina dada wa kizazi hiki cha dot com shida yao ni moja tu.

Yaani ni wao na pesa, Pesa na wao. Wametanguliza maslahi (pesa) saaana. Na mbaya zaidi wanatafuna pesa mithili ya Bar mpya.
 
Bado hujakutana na mwenye ubavu wake,siku mkionana atakupenda tu,hatajali mwonekano wako wala tabia zako! Usikate tamaa.
 
Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu

Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao

Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza...

Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Ukuje kwa mimi, uwe kipoozeo wife akiwa period.
 
Kuna watu ambao wamezaliwa na ulemavu wa ajabu, wanaugua magonjwa ya ajabu, wengine walizaliwa wakiwa wazima lakini wamepata ulemavu wa maisha....mshukuru Mungu una uwezo wa kuingia humu ukiwa na fahamu na utashi wako, hatuwezi kuwa wazuri wote lazima tujikubali jinsi tulivyo na tuufurahie uumbaji, kuwa hai tu ni zawadi tosha!!!!
 
Sawa
Screenshot_20171114-195908.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu

Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao

Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza...

Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Hata mm sieleweki sina shepu sina sura na miguu mibovu nimeolewa sista.....usikate tamaa naamini anaekupenda yupo iko siku atakuja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom