MmhPole sana, hata ingekua ni mimi ningekuacha..
Bora ukose vyote nitavumilia ila sio tako!!
Weka kapicha. Itapendeza zaidiMi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza... Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Noma sanaKauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu
hii watu wa JF hawa nashindwa kuwaelewa unaweza jipinda toa ushauri mzuri kumbe wananzingua tuu
hapo umesema 2013 uliolewa na mumeo kafa
Kwa sura hio rahabu? Unataka kukufuru sasaPe jamani ila unatakiwa uanze kujikubali kwanza wewe kabla haujakubaliwa na watu mbona sie tumeolewa na hatueleweki
Pole sana mkuu ila unapaswa ujikubali jinsi ulivyo na ipo siku utapata mtu sahihi kwa sababu kila binadam kaumbwa na mwenzi wakeMi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza... Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Pole dar ila k ipo?Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza... Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Aiseee, ungeweka picha ingekuwa vizuri sana.Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza... Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Thread Ya Oct 18 Ulisema Mumeo Alikufa Hi Ya Leo Umesema Alimludia Ex Wake ,,, Tuelewe LipSasa hapo nimekosea kipi??? Ndio hayupo dunian labda kama ungesema nielezee historia nzima ilikuaje ila aliniacha na Alifia mikononi mwangu nikiwa nae.....na nibaada ya wazazi kufatilia maana alitoa mpaka mahar na mambo yalifika hadi kanisan jaman ni story ndefu sana ....ila kifupi tu siwez tunga wala kusema uongo