Bora nimwache aende tu

Bora nimwache aende tu

Ma ADDO

Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
37
Reaction score
59
Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu

Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao

Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana,,, hakuna nguo nayovaa nikapendeza...

Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
 
Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu
Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao
Sina kitu cha kumvutia mwanaume kabisa.....sina shape.... Mi mrefu miguu miembamba tumbo kubwa, maziwa makubwa,, tako sina, meno mekundu,,, nywele kipilipil kidogo sura ipo ila sio sana. Nadhan sivutii ndio maana wananiacha tu nimeona bora nikae tu nilee mtoto wangu ....mpenz niliekua nae nilikua simuelew tu alikua ananiletea mapicha tu...tukienda wote sehem ananitanguliza au anatangulia yeye....nikaja gundua yote anafanya sababu simvutii nineamua nimuache aende kuliko kuumia kihisia
Tatizo kubwa unalo wewe wala si hilo, bali ni kujilinganisha na wengine. Jikubali wewe kama wewe, mtoto kike ukianza kujilinganisha na wengine. Hutoishi kwa amani
 
Meno mekundu ndio yako vipi??

Usikate tamaa hivo Mungu ametuumba kwa pair, tatizo tuna haraka sana na mambo ambayo yanahitaji ustahmilivu, utapata wako zidisha ibada Mungu hua anajibu maombi ukimuomba kwa nia

Jifunze kujithamini nakujipenda mwenyewe kwanza mengine yatakuja baadae
 
Meno mekundu ndio yako vipi??

Usikate tamaa hivo Mungu ametuumba kwa pair, tatizo tuna haraka sana na mambo ambayo yanahitaji ustahmilivu, utapata wako zidisha ibada Mungu hua anajibu maombi ukimuomba kwa nia

Jifunze kujithamini nakujipenda mwenyewe kwanza mengine yatakuja baadae
Mi nimekata hata tamaa Sijui huyo atakae kuja nae ataniacha tu na kuniachia maumivu moyoni
 
Jikubali kwanza,ipo cku atatokea atakae kupenda kw jinsi ulivyo,jitahidi kuwa mcha Mungu kwa maana ndio sifa ya kuu kw mwanamke(hata mm huwa navutiwa sana na mwnamke mcha Mungu.
 
Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

hii watu wa JF hawa nashindwa kuwaelewa unaweza jipinda toa ushauri mzuri kumbe wananzingua tuu
hapo umesema 2013 uliolewa na mumeo kafa
Sasa hapo nimekosea kipi??? Ndio hayupo dunian labda kama ungesema nielezee historia nzima ilikuaje ila aliniacha na Alifia mikononi mwangu nikiwa nae.....na nibaada ya wazazi kufatilia maana alitoa mpaka mahar na mambo yalifika hadi kanisan jaman ni story ndefu sana ....ila kifupi tu siwez tunga wala kusema uongo
 
Jipende mwenyew kwanza ndo watakupenda.shukuru Mungu kwa kua hvyo usilalamike atakuja atakae kupenda zaid
Wengine hawana ata hyo miguu membamba na wanafurahia maisha
Umesema vyema, asome hapa kwa makini.
 
Jua fika usipojipenda wewe kwanza HAKUNA atakaekupenda... Utaishia kulalamika hivi deile.






Wapo wasio na miguu wala mikono na bado wamepata wenza wao wa maisha sembuse wewe kweli..
 
Kuwa wa mwisho kujichukia na siyo unakua wa kwanza kujichukia..jionee fahari kuishi ulimwenguni humu hayo mengine mwachie Mungu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom