Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Huyu mpenzi hata kuosha sijaosha kanipiga mzinga ambao hata akimuomba baba yake mzazi aliyemzaa hawezi kuumpa. Hivi nyinyi wadada kuna chuo cha kupiga mizinga huwa mnajiunga nacho? Kuamkatalia nimeshidwa, ila ataisoma namba.
Mizigo mingapi nimeikosa bhana sembuse yeye!
shlingi ngapi aisee?
shlingi ngapi aisee?
Utasikia,,elfu tano,au 50000!Wakija bila kufanya usafi kule,mnasema ohoo jamani nyoeni,vaeni pichu nzuri!Mkiombwa hela za gillete,mizinga hii jamani!Ebooo!
Alijua akikuomba hela utakimbia, misheni akomplishid.