Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Una ugonjwa gani?Mzeebaba itakuwa hujanielewa tu, yaani natamani sana kupambana lakini kuna ugonjwa umeniweka ndani aisee daaah yaani nikiwaona wanaopambana huko nje nahisi kupasuka maana namimi ningekuwa mmoja wao na hakika ningetoboa lakini ugonjwa umenipiga kabali ndomaana hata nataka nikate tamaa nisifocus tena yanayoendelea huko nje just niwe kama sipo vile nikubali tu kuwa siwezi kuwa kama nyinyi wazima
ndo najifunza kaka lakini njia yangu ni ngumu sana mkuuAcha uboya kamanda unaniangusha.
Ili upate pesa lazima ujifunze kuuza.
Mengine yote ni blah blah
Jifunze kuuza utaona pesa haipungui mfukoni [emoji383]
Cheers 🥂
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nikweli mkuu namimi naendelea kupambana, Hope Mungu atanifanyia wepesikiongozi Cha msingi nikupambana tuu UKIKATA TAMAA Ndio mbayaa zaidi utakuwa na hali mbaya zaidi.
Nikweli mkuu namimi naendelea kupambana, Hope Mungu atanifanyia wepesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole! Nina imani ndugu na jamaa wanaokuzunguka ni waelewa, na wanaona haja ya kukusaidia. Je una wazo unafikiri linaweza kukupa ahueni?nilichokuwa nasaidiwa ni kusomeshwa na chakula lakini vitu vingine vingi niliachieve mwenyewe, the same same nilivyofanikisha zamani nilidhani nitafanikisha hata leo lakini sasa nimekuwa mgonjwa/mlemavu nipo tu ndani mambo yamebadilika
Mhh...Mkuu kwa upande wangu Hope is not Dangerous thing, kwa upande wangu
Where there is Hope there is Life,
hata Mkuu davile pamoja na yote anayopitia lakini still he has hopes
Hopes is far away from Expectations
huyo jamaa yako anayeumwa kansa kama hajaanza kupiga mionzi nataka tumsaidie kwa pamoja kwa kutumia lishe, uko tayari?Brother don't give up the fight,ingewezekana wote waliokata tamaa wafe basi wengi wasingekuwepo Leo hii,cha muhimu nikuendelea kutumia zawadi ya pumzi tuliopewa mpaka mwenye kutupa aamue kuikatisha,,,,,we all give up but time is a healer..
Jana nimekosa usingizi kwa kuwa mshkaji na rafiki wa karibu kuniambia ana cancer kitu ambacho kilinishtua sana na jamaa amekata tamaa kabisa na anachanganyikiwa age under35 ,nikamwambia ajikubali it just happen asikate tamaa pumzi ndo kila kitu ,ila ni changamoto kila MTU anapita kwenye njia tofauti ,nakuombea Mungu akupeni wepesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu! napambana na tayari naona mwanga kwa mbali. Mambo yatakapokuwa magumu sitasita kurudi tena humu kuwashirikisha wadau. Imetokea JF ndipo nakutana na watu wanaonijaenga na kunipa mtazamo wa kusonga mbele tofauti na wanaonizunguka so here you are my best friends.Pigania hapo hapo ulipo usikate tamaa..
Ukitaka kujua umuhimu wa mwanga
" nuru ".. usiulize anaye ishi na taa....muulize anayeishi "gizani"...
Anguko lake ni baya mno ...mno..
Jipe moyo...vita ni kubwa..tumia ile dhamira yako..ya kutokubali kushindwa..ili usikate tamaa..
Huku....usije!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkuu... unaendeleaje?Asante sana mkuu! napambana na tayari naona mwanga kwa mbali. Mambo yatakapokuwa magumu sitasita kurudi tena humu kuwashirikisha wadau. Imetokea JF ndipo nakutana na watu wanaonijaenga na kunipa mtazamo wa kusonga mbele tofauti na wanaonizunguka so here you are my best friends.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu..nikuulize...hivi mgonjwa wa cancer..akianza kuitumia mionzi..ndio haiwezekani kupona tena??huyo jamaa yako anayeumwa kansa kama hajaanza kupiga mionzi nataka tumsaidie kwa pamoja kwa kutumia lishe, uko tayari?