maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,046
- 4,608
Waswahili wanasema ndege wafananao huruka pamoja. Wasiwasi wako nini?Narudia tena ni heri nife bila ya kua na mtoto kuliko kuzaa na mwanamke asie na akili maana mwanangu atateseka sana atakua na mama mpumbavu na hii itampelekea na yeye pia kua mpumbavu
Wanawake wasio na akili ndio hua wanawapandikiza chuki watoto juu ya baba zao, matokeo yake unakuta mtoto anakuchukia baba bila sababu ya msingi
Mwanamke asie na akili hawezi kumlea mtoto kwenye njia imasayo maana mda mwingi atautumia kwenye mambo yake. ya kipumbavu
perfect tz umeninyaka vemaNAUNGA MKONO HOJA MANAKE KWA MUDA MWINGI KINA MAMA NDO WANAKUWA PAMOJA NA WATOTO WETU
Popote ulipo agiza soda au kasusu nakuja kulipa
sijazungumzia utajiri na umaskini au akili ya darasani nazungumzia uwezo wake wa kuchambua mamboKuna vitu umechanganya, huyo mwanamke ana tabia mbaya tu, anaweza akawa na akili. Mara nyingi kipimo cha haraka cha akili ni ufaulu wa darasana au maisha. Anaweza akawa amefaulu kwa level ya PhD au akawa ana utajiri wa kutosha lakini akawa ana tabia mbaya. Tabia hizo mara nyingi na si mara zote wanawake wanazirithi kutoka kwa mama zao, jinsi alivyoona baba yake anatendewa, basi kuna uwezekano na wewe akakuzingua. Hivyo, usikurupuke kuoa, fanya study kidogo utajua mbivu na mbichi.
hapana broh wahenga sio wa kuwafuata sanaWaswahili wanasema ndege wafananao huruka pamoja. Wasiwasi wako nini?
Acha tu mamaKwani nini kimetokea?
Wapi uliona bundi na tai wakiruka pamoja?hapana broh wahenga sio wa kuwafuata sana
Kwani nini kimetokea?
Kuna dharula huwa zinatokea koo mnaweza jikuta mnaruka pamoja japo hamfanani kama umetembea sana utaelewa nimemaanisha nnWapi uliona bundi na tai wakiruka pamoja?
Hili liko wazi we we ndo ulikua hujuiMama na baba yako ulishawaeleza haya?
Sio all the timeLakini pia
VISE VERSA is also true.
Mwanamke kama wewe siyo wa kuwowa kabisaKwani nini kimetokea?
Nadhani humjui ndege tai, kaa kimyaKuna dharula huwa zinatokea koo mnaweza jikuta mnaruka pamoja japo hamfanani kama umetembea sana utaelewa nimemaanisha nn