Nimeonelea ni heri nipost this thread following the recent trend of things in the country.
:: Je, ushirikina,ufisadi na muumini mnafiki ni upi?
Andrew Chenge siku za hivi karibuni alishutumiwa kwa uchawi bungeni na uchunguzi umefanyika na mkemia mkuu amesema yake.Vilevile Rosatam Aziz ameingia kanisani katoa sadaka kasema yaliyokuwa yanamkera na Mchungaji kasimamishwa.
Haya makuu mawili ya uchawi na ufisadi yametinga mno kwenye vvyombo vya habari na yameandikwa sana na wadau wakasema vya kutosha.
Je,muumini mnafiki nafasi yake katika haya yote ni yepi?
Suala la uchawi na ufisadi hawa ni watu ambao tunaowajua na maovu yao yanajulikana je huyu muumini wa swala tano na anyeenda kanisani misa ya asubuhi,ya jioni,na jumuia kila leo halafu usiku anawanga na kuiba huyu ana kheri?
Hili suala la Rostam Aziz kukanwa na kanisa na Mchungaji kusimamishwa yamefikia off limits.Kila mwanadamu atimize wajibu wake suala la wewe,mimi na yule kuonekana watakatifu kisa tunasali sana limepitwa na wakati.
Siyo anaetoa sadaka kila siku na kukaa kiti cha mbele ni msafi.Angalia jamii yako hasa wale wanaoenda kanisani na misikitini sana na kujiita watoto wa Mungu waangalie vitendo vyao.
Tusisiseme nyumba za watu chafu wakati ya kwako its haunted by all kinds of ghosts.
Msimamo wangu ni kuwa sitetei ufisadi,uchawi wala unafiki.Natetea Ukweli,Uwazi,Fairness,Unity,Justice,Love and Peace.
God Bless You All.
Wachawi na Mafisadi wote hakuna kuonewa huruma!
Hata kama wako huko misikitini na makanisani...Watajwe!
Kutowataja ndio UNAFIKI WENYEWE!
WEKA HAPA MAJINA NA SISI TUTACHAMBUA...!
JF HII!
YA WAZALENDO!
Hivyo basi...Badala ya kusema watu wajiangalie!
Mimi binafsi ninafahamu na kuamini kuwa mimi si MCHAWI wala FISADI!
Vipi kuhusu wewe?
Hatuna haja ya KUOGOPA kuukemea Ufisadi NA UCHAWI UWE WA CHENGE AMA WA AKSOFU AMA WA SHEICK NA HATA WA MWANASIASA AMA MWANANCHI YEYOTE WA KAWAIDA.
Hivyo basi...Tukate issue kwani huu ni wakati ambao NO STONE SHALL NEVER STAY UNTURNED.
wote hakuna bora hapo ndugu yangu mana moja huanzisha jingine akishakua mnafiki then atatumia unafiki wake kuwa fisadi via ushirikina....
Tatizo Letu Tz Bado Twasumbuliwa Na Sumu Ya Ujamaa. Dunia Imebadilika Sisi Hatukubali Matokeo. Kwa Sasa Mabepari Ndo Vinara Wa Kila Kitu Cha Msingi Tuweke Misingi Mipya Ya Utaifa Wetu Tusonge Mbele.
Malalamiko Yasiyoendana Na Wakati Hayasaidiiii.
Twaelewa Kwa Sasa Bila Fedha Kupata Uongozi Shidaaaaaaaa...sasa Tufanyeje Kubadili Hali????
kevo,
All These Are The Devil Themselves So .. Hamna Afadhali Kati Yao ...
Mtumishi Wa Mungu Hiyo Pichya Yako Hapo Kwakweli Inanikwaza Sana.
Nakuomba Uibadili
Nimeonelea ni heri nipost this thread following the recent trend of things in the country.
:: Je, ushirikina,ufisadi na muumini mnafiki ni upi?
Andrew Chenge siku za hivi karibuni alishutumiwa kwa uchawi bungeni na uchunguzi umefanyika na mkemia mkuu amesema yake.Vilevile Rosatam Aziz ameingia kanisani katoa sadaka kasema yaliyokuwa yanamkera na Mchungaji kasimamishwa.
Haya makuu mawili ya uchawi na ufisadi yametinga mno kwenye vvyombo vya habari na yameandikwa sana na wadau wakasema vya kutosha.
Je,muumini mnafiki nafasi yake katika haya yote ni yepi?
Suala la uchawi na ufisadi hawa ni watu ambao tunaowajua na maovu yao yanajulikana je huyu muumini wa swala tano na anyeenda kanisani misa ya asubuhi,ya jioni,na jumuia kila leo halafu usiku anawanga na kuiba huyu ana kheri?
Hili suala la Rostam Aziz kukanwa na kanisa na Mchungaji kusimamishwa yamefikia off limits.Kila mwanadamu atimize wajibu wake suala la wewe,mimi na yule kuonekana watakatifu kisa tunasali sana limepitwa na wakati.
Siyo anaetoa sadaka kila siku na kukaa kiti cha mbele ni msafi.Angalia jamii yako hasa wale wanaoenda kanisani na misikitini sana na kujiita watoto wa Mungu waangalie vitendo vyao.
Tusisiseme nyumba za watu chafu wakati ya kwako its haunted by all kinds of ghosts.
Msimamo wangu ni kuwa sitetei ufisadi,uchawi wala unafiki.Natetea Ukweli,Uwazi,Fairness,Unity,Justice,Love and Peace.
God Bless You All.
kevo.. mkemia amesema nini? It looks like I missed it.

Mkuu hii issue iko very broad....hapa unataka kusema hata sisi tulioko nje ya nchi kama wakimbizi, au tumetumia fake documents kama vile BS famba (bank statement fake) kupata I-20 na visa, tuko katika mkumbo huu wa ufisadi.
Ila nakubaliana na wewe kuwa wachawi wengi mara nyingi wanajifanya wacha Mungu kuliko sisi tusiomjua Mungu vizuri, shame on them!!