Kevo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2008
- 1,333
- 54
Nimeonelea ni heri nipost this thread following the recent trend of things in the country.
:: Je, ushirikina,ufisadi na muumini mnafiki ni upi?
Andrew Chenge siku za hivi karibuni alishutumiwa kwa uchawi bungeni na uchunguzi umefanyika na mkemia mkuu amesema yake.Vilevile Rosatam Aziz ameingia kanisani katoa sadaka kasema yaliyokuwa yanamkera na Mchungaji kasimamishwa.
Haya makuu mawili ya uchawi na ufisadi yametinga mno kwenye vvyombo vya habari na yameandikwa sana na wadau wakasema vya kutosha.
Je,muumini mnafiki nafasi yake katika haya yote ni yepi?
Suala la uchawi na ufisadi hawa ni watu ambao tunaowajua na maovu yao yanajulikana je huyu muumini wa swala tano na anyeenda kanisani misa ya asubuhi,ya jioni,na jumuia kila leo halafu usiku anawanga na kuiba huyu ana kheri?
Hili suala la Rostam Aziz kukanwa na kanisa na Mchungaji kusimamishwa yamefikia off limits.Kila mwanadamu atimize wajibu wake suala la wewe,mimi na yule kuonekana watakatifu kisa tunasali sana limepitwa na wakati.
Siyo anaetoa sadaka kila siku na kukaa kiti cha mbele ni msafi.Angalia jamii yako hasa wale wanaoenda kanisani na misikitini sana na kujiita watoto wa Mungu waangalie vitendo vyao.
Tusisiseme nyumba za watu chafu wakati ya kwako its haunted by all kinds of ghosts.
Msimamo wangu ni kuwa sitetei ufisadi,uchawi wala unafiki.Natetea Ukweli,Uwazi,Fairness,Unity,Justice,Love and Peace.
God Bless You All.