Bora miaka 50 ya CCM kuliko miaka 5 ya UKAWA

tofyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
2,759
Reaction score
768
Salaam wana jf,

Amma baada ya salam naomba kuwasilisha maoni ya waliowengi kama ifuatavyo.

CCM imefanikiwa kutuongoza kuanzia Chama na serekali mpaka vyama vingi kwa muda wa miaka zaidi ya 50 sasa tulio wengi tume enjoy amani,utulivu na mshikamano.

Tumepita kwenye changamoto mbalimbali na nyingi tulizishinda mpaka sasa nchi yetu imekuwa mfano wa kuigwa dunia nzima, usiposhuru dogo hata kubwa huwezi kushukuru.

Lakini sio wananchi pekeyake hadi wanyama tunaowafuga na kwenye hifadhi zetu wote wame enjoy hali tulivu kiasi cha marais wa marekani kufikia hatua na kusema amma hakika NGORONGORO ni pepo ya wanyama.

Lakini waswahili wanasema 'SHUBIRI HUONJWA' kuna kundi la wanasiasa linajiita UKAWA nasema wanajiita kwasababu hakuna katiba ya UKAWA wala USAJILI wala OFISI isipokuwa tunajua kwamba wanatoka kwenye vyama vikuu vya upinzani.

Lakini ikiwa kushika nafasi yapili kwenye uchaguzi mkuu tayari watu wengine wanamili nyumba3,kasri dubai,bilions uswizi,wengine wameitwa wasaliti na wengi kupigwa matofali.
 
Sasa matusi ya nini? Jifunzeni ustaarabu nyie wafuasi wa UKAWA.


Kumbe................Tanzania ni nchi ya kuigwa? walahi sikujua! kumbe upuuzi wetu, umaskini, ujinga, utumwa wa akili ni mifano ya kuigwa, na inaigwa na nchi gani?
 
Sasa matusi ya nini? Jifunzeni ustaarabu nyie wafuasi wa UKAWA.



Ustaarabu ni upi? kupika majungu na kudanganya umma kwa hoja dhaifu, za kufikirika na ujinga? unaona mleta hoja

kafanya uungwana kwenye bandiko la kupotosha umma? Kupotosha na kudanya sio zaidi ya matusi???
 
Reactions: BAK
Ushapewa pesa saa unatoa hoja ambazo hazina msingi taifa gani la amani wakati hapana elimu,umasikini,maandamano kila kukicha.
 
Mleta mada ni miongoni mwa wale waliotetea Wakoloni wabaki Tanganyika mwaka 1961 hivyo tusimshangae.
 

Huu ndo UKISEBENGO category A!... Wananchi WENYE NJAA hali ngumu ya maisha, hawamudu hata mlo mmoja kwa siku, kila siku wanapandishiwa gharama za maisha, nishati juu, mafuta juu, umeme juu, kodi kibao....Ufisadi unatamalaki halafu eti wana enjoy Amani, Utulivu na Mshikamano ...upi? ... Unajua UJANGILI umeathiri wanyama kiasi gani so far? Speaking of witch, Wale waliokunjia TWIGA pale KIA wamechukuliwa hatua gani so far? Kagasheki ametolewa kwa sababu zipi za msingi?...UKAWA lini wameongoza DOLA hadi uwafananishe na CCM iliyodumaza maendeleo kwa miaka zaidi ya 50? Wewe lazima utakuwa puppet wa Nchi za Magharibi zenye kufaidi Rasilimali zetu bure bure ..
 
ccm imeondoka na nyerere sasa ni INTARAHAMWE.
Kama hii ndiyo hoja yako, kwa nini msikubali hii hapa chini kuwa pia ni hoja mbadala

 
maramia tushabikie ubovu wa ccm kuliko upuuzi wa wapinzani haswa Cdm kiukweli kila mtu anapenda wapinzani washike nnchi lkn c hawa wabaguzi wanafiki magaidi na kutokukubali challenge wanao taka fikra za mwenyekiti kudumu...... wapuuzi wapizani hata mie nakusapoti japo si ccm
 
Hata mie najiuliza sipati jibu. Mfano wa kufikirika; slaa rais alafu baraza lake unawakuta watu kama akina mbowe,sugu,lema,msigwa,bepari ndesa na wachaga kwa kwenye taasisi za kiusalama na kifedha ndani ya miaka 5 nchi itafananaje?
Ni matarajio yangu nchi kutangazwa imefilisika.
 
Duh, Tofyo, ukiwa hauna cha kupost changia post za wengine!
 
maramia tushabikie ubovu wa ccm kuliko upuuzi wa wapinzani haswa Cdm kiukweli kila mtu anapenda wapinzani washike nnchi lkn c hawa wabaguzi wanafiki magaidi na kutokukubali challenge wanao taka fikra za mwenyekiti kudumu...... wapuuzi wapizani hata mie nakusapoti japo si ccm
 

Hakuna cha ubovu wa ccm bali kuna utaahira wa ccm.
 
Kama tukiiongezea CCM miaka mingine mitano kuna hatari kubwa kwa watanzania wengi kuwa mataahila. CCM Ni chama cha kitaahila taahila, na sasa utaahila unahamia kwa wananchi kama Tofyo
 

wewe si ccm bali uko kwenye kitengo mahsusi cha ccm chenye jukumu la kuivuruga Chadema yaani ACT.
 

Pointless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…