Bora kufuga PANYA

Ha ha ha ha, those days jamani
Afu hilo tope lina miiba mikali inaitwa 'samang'ombe', inauma hiyo
Ila ndo unaingia peku peku
 
Bujibuji, wanyasa huwa hawana aibu aibu hivi! na huenda alikuwa analima uchi akiepuka kuchafua nguo zake kwa matope!

Kwani we mtani wa wanyasa au unajipendekeza, isitoshe wanyasa hawana watani huku TANGANYIKA maana kwao ni malawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…