kaka pole sana na wala usikate tamaa!! mimi nw naingia mwaka wa pili na mwaka jana nilikosa mkopo ilihali nilipata division 1 ya 9 na form 4 nikapata div 1 form 4 na nilisoma shule za serikali!! na maisha yangu yanaendelea chuon kama kawaida, cha msingi we jipange usome!