Huko kufa kunakuwa ni kwa kujiua,kuuwawa au kufa kifo cha kawaida tu?Wakuu niajee
umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso,
umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.View attachment 3526966
kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk
kuna raia wanaishi kwenye mazingira magumu sana.
ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo naamini utabarikiwa sana,
Ukiwa masikini kwenye hii dunia utateseka sana,
the world is not fair.
Mimi masikini nisaidie mkuu , charity begins at homeWakuu niajee
umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso,
umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.View attachment 3526966
kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk
kuna raia wanaishi kwenye mazingira magumu sana.
ukipata nafasi ya kumsaidia masikini yoyote yule kwa chochote fanya hivyo naamini utabarikiwa sana,
Ukiwa masikini kwenye hii dunia utateseka sana,
the world is not fair.
Sawaata ikibaki hivyo hai_athiri chochote
Serikali ya samia ilitupatia ofa sie makapuku ya kula risasi za kichwa nilitamani sana hii fursa sema nilkuwa bush wakat huoMbona we ni kapuku na uko hai unasubiri nini?
life is not fairWote hapa duniani tumezaliwa masikini, utajiri huja kwa factor mbili, 1. Umekuta mali ukarithi 2. Mazingira,hali ya amani,utulivu na misingi ya nchi inaweza kukufanya uwe tajiri ama masikini. Imagine watu wa burundi,unawezaje kuwalaumu kwa umasikini wao? Na wewe tajiri wa sasa,usiutumie utajiri wako ktk majivuno na kiburi,hauijui kesho yako.
Aaaa waaapii!Na bia nimuachie nani?Anayekufa shauri yake.By any means
AiseSerikali ya samia ilitupatia ofa sie makapuku ya kula risasi za kichwa nilitamani sana hii fursa sema nilkuwa bush wakat huo
Huko Geita kuna wahuni sjui walitokea migodini huko jamaa waliitumia vyema sana hyo fursa sahv wamepumzika kwa amani