Bora kuchapiwa na dume kuliko jike.

Manton

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,164
1,520
Nimeshangazwa na taarifa za mwanaume kumuua mwanaume aliyemkuta akimgegeda mke wake huko Geita. Poleni wote mlio fedheheshwa na taarifa hiyo. Nirejee kwenye kiini cha uzi huu, naona ni bora watu wa jinsi mbili wakipeana uroda kuliko kumuona mke au mme na rafiki yake kufa na kuzikana wakivua vyupi na kutendeana kama mke na mme wafanyavyo kwenye faragha zao. Leo kama kuna mzazi anaye mkataza mtoto wake kujihusisha na mtoto wa jinsi tofauti, ajue ana mwandalia njia ya kushiriki mapenzi ya jinsi moja, yaani yale ya kupumuliana pumzi dume kwa dume au jike kwa jike. Pamoja na kwamba hata uwepo shule za bweni kwa wasichana tu na wavulana tu mihula yote nalo lina mchango wake katika hili lakini lazima kila mtu achunge kilicho chake. Niseme tu kwamba nipo huru kumsamehe mpenzi endapo atachepuka na mtu wa jinsi tofauti na yake kuliko nikimkuta anatenda unyonyauke na nyonyaume mwenzie! Kwako ipo vipi? Kumbuka mwili wako ni mali yako asiwepo mtu wa kukupangia matumizi. Nakutakia afya njema, ya akili, hisia na mwili.
 
Back
Top Bottom