bora iwe hivi

ukipambana na malaria ya developed county ni approach tafautina ya mgongoni mwa third world. sijui umenielewa manake mwenyewe sijielewi

naenda kusemakwa mama, kusemaaaaa
#singing

nakelewa King'asti but hata kama approach ni tofauti lkn objective ni ileile na expected out come ni sawa


to me every relationship its a law to itself
 
Last edited by a moderator:
Acha unoko nawee LOL. Umemsoma mchumba wa Da Sophy? Punguzeni kusoma na nyie. Nkiki?
soon i do expect to start my phd at university Hungers University under Erasmus Mundus Nanofar project hopefully i will have to marry a new man and not Kaizer.

so am looking for a new partner who is well educated a least he should possess Phd in Engineering and works with UNDP of MCAT projects.
 
Last edited by a moderator:

hata hapa sijajua nimefikishwaje Gfsonwin sweetlo. eti Asprin, hapa inakuwaje hii makitu....yaani mi na darasa langu la saba ndo ngumbaru sio?
 
Last edited by a moderator:

hata hapa sijajua nimefikishwaje gfsonwin sweetlo. eti Asprin, hapa inakuwaje hii makitu....yaani mi na darasa langu la saba ndo ngumbaru sio?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mfumo dume tu hakuna lolote, kuna wanaume bado wanaamini wanawake hawana mawazo ya kujenga na hawawezi kufanya vitu tofauti na domestic works!
 
Hhaha, ndoa zenyewe siku hizi ni temporary ukiota chunusi tu mume anakuanzishia thread na small hausi yake inakuanzishia thread ya wanawake wasomi wana chunusi kama mapera hawatafuniki. Akhuuu, mie nasoma babu weeh, hadi nikutane na kibao cha no skuli ahead!
Acha unoko nawee LOL. Umemsoma mchumba wa Da Sophy? Punguzeni kusoma na nyie. Nkiki?

Kasome kaka, biashara ya kushona viatu stendi haiendani na wanawake wa kileo!
hata hapa sijajua nimefikishwaje Gfsonwin sweetlo. eti Asprin, hapa inakuwaje hii makitu....yaani mi na darasa langu la saba ndo ngumbaru sio?

Walini:tape2:, nikaona niwe :shut-mouth:
Kumbeeeee...... King'asti uko pande za wapi mbona hata kunisms hii makitu hadi mambo yameharibika hivi?

CC: Asprin, gfsonwin
 
Yaani kwakweli kuolewa na mtu uliyemzidi Elimu ni natizo sana , actually mimi sijasoma sana nina ka degree kamoja though am planning for my masters , mume wangu ni form six ,lakini utakuta mpo kwenye maongezi ya kawaida utasikia unaambiwa yaani wewe Elimu yako haijakusaidia , oooh hajausomeje hauwezi kunizidi elimu blah,blah, kibao .

Its better kama una mtu ambaye mnaendana Elimu mkawa pamoja maana ni issue sana kuishi na mtu ambaye mtofautiana kielimu japokuwa sio wote ambao ambao wanakuwa wasumbufu but most of them ni disaster utafanyiwa vituko ili mradi aku challenge.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Si kupongezi kwa mawazo yako! Nahisi pamoja na kuwa na degree moja, bado hujapata elim ya mapenz, hujui mapenz pole dada yangu. Kutolewa mapenzi nin!
 
mimi nimeamua kuoa mwanamke ninayempenda kwa moyo wangu wote! Kwishney,........................................
 
nitafute after four years ha ha ntakuwa na vigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…