Kusoma maana yake nini? Ni kusoma Magazeti ya Udaku, Biblia au Kuran? Au kusoma a,e,i,o,u?hello wanajf hope mpo well wakati mwingine tunawaonea wasichana walo soma eti wanawadharau waume zao pale wanapoolewa na wanaume ambao hawajasoma,kwa upande mwingine nao wanaume wanamatatizo ya kujishtukia utasikia ktk kitu chochote ''au unafanya hv kwa kuwa umesoma'',maneno kama haya huwa yanaboa c siri hasa pale mnapokuwa munaongea mambo ya kawaida tu hauna hata idea kama hiyo.kutokana na haya matatizo ni bora wasomi waoane kwa wasomi au mnasemaje wanajf.
Shkamo mwalimu.ingekuwa mwenza anatafutwa kwa nguvu ya mtu sawa ila kama ni tofauti bado utasubiri sana maneno yako yako kutimia.
ingekuwa mwenza anatafutwa kwa nguvu ya mtu sawa ila kama ni tofauti bado utasubiri sana maneno yako yako kutimia.
Kusoma maana yake nini? Ni kusoma Magazeti ya Udaku, Biblia au Kuran? Au kusoma a,e,i,o,u?
Niisingeuliza kama ningeelewa.hope unaelewa what i mean.
Shkamo mwalimu.
ntasubiri nn?
ntasubiri nn?
Mzima nimekumisi, unajua?marhaba mzima lkn??
hello wanajf hope mpo well wakati mwingine tunawaonea wasichana walo soma eti wanawadharau waume zao pale wanapoolewa na wanaume ambao hawajasoma,kwa upande mwingine nao wanaume wanamatatizo ya kujishtukia utasikia ktk kitu chochote ''au unafanya hv kwa kuwa umesoma'',maneno kama haya huwa yanaboa c siri hasa pale mnapokuwa munaongea mambo ya kawaida tu hauna hata idea kama hiyo.kutokana na haya matatizo ni bora wasomi waoane kwa wasomi au mnasemaje wanajf.
hata unachosubiria hautakiju lol
im serious, siwezi kuolewa na mwanaume std 7, atazimisha ndoto zangu bureee
Kama hutaki matatizo usioe/olewa kabisa. Hata huyo msomi mnaweza kukwaruzana.
Kuna mtu hataki tabu kaamua kujioa mwenyewe.
hata unachosubiria hautakiju lol
im serious, siwezi kuolewa na mwanaume std 7, atazimisha ndoto zangu bureee
Kama hutaki matatizo usioe/olewa kabisa. Hata huyo msomi mnaweza kukwaruzana.
Kuna mtu hataki tabu kaamua kujioa mwenyewe.
kuna ambao wameandikiwa hivyo regardless usomi wao what do they do??
so do i Asprin, love you mingi.
khee mtu anajioa mwenyewe kiaje atajioa mwenyewe?