Mkuu
Papasa, kwa hili, karibu hapa
Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi! na hapa
Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa! na hapa
Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!
Sijamtolea vitisho, nimemkumbusha tuu!, ukiishi mahali kwa hisani, na fadhila, uwe na heshima na adabu, sio mtu unahisaniwa, unafadhiliwa, halafu unaleta chokochoko!. Ukibebwa, bebeka na utulie!, sio mtu unabebwa, unaanza kuhangaika kumsumbua mbebaji, utabwagwa!.
Hapa sijazungumzia asili za makabila!, hapa nimezungumzia watu wana data za wazazi wa mtu walitokea wapi kabla ya kuhamia Tanzania!. Watanzania halisi ni watu wote waliokuwa kwenye ardhi ya Tanzania ile saa 5:59 usiku wa tarehe 8/12/1961!. Raia wa nchi jirani nyingine zote, waliohamia Tanzania na kusetlle Tanzania, sio Watanzania. Wakizaa mtoto wakiwa Tanzania, mtoto huyo anakuwa na uraia wa Tanzania wa kuzaliwa, birth right, lakini pia anakuwa na uraia wa Wazazi wake!. Atakapotimiza umri wa miaka 18, anapaswa kuukana uraia wa wazazi wake kwa maandishi ndipo anakuwa ni Mtanzania!. Huko maeneo ya mipakani kuna majirani zetu wengi tuu wamehamia hapa kwetu kinyemela, wame settle, wameoa, watoto wao wamezaliwa Tanzania, hivyo ni Watanzania wenzetu!, but when it comes to uongozi, they have to declare!, hivyo ndivyo alivyofanyiwa Azim Premji, Jnerali ulimwengu, Kinana, Bashe, they declared!. Kuna Watanzania wenzetu wengu tuu wengine ni mawaziri!, wazazi wao sio Watanzania, walihamia nchini kwetu kinyemela!, wao wamezaliwa hapa, lakini hawakuwahi ku declare!, tunawajua na tumenyamaza akiwemo naniliu!.
p