estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Habari zenu leo ni muendelezo wa yule kaka king'ang'anizi.
Nimeamua kumuacha ili nisije kumuumiza huko mbele ya safari. Nimechukuwa maamuzi hayo kutokana na mwanzo wa mahusiano yetu aliniambia kuwa ana mwanamke anaishi naye ingawa sina uwakika maana mida ya usiku kwenye kuongea ananipa nafasi hiyo hata kutoka out tunatoka na kurudi usiku wa manane na sisikii mtu yoyote kupiga simu.
Nimeona ni bora aende. Kama kweli ananipenda na ana malengo na mimi atarudi, ila yeye dini yake ni Muisilam.
Toka nimtumie meseji kuwa mimi na yeye basi, safari hii kakubali matokeo ingawa kwa sasa napata shida kidogo nakuwa namuota sana usiku na usingizi hata hauji mpaka ninywe pombe.
Siyo kwamba nampenda, hapana. Nahisi imetokea tu pasipo kujua. Na ni mtu nakaa naye kitaa mara ya mwisho ananiambia hajaniona nikipita na huwa asiponiona hana furaha kabisa.