Habali za mda huu wapendwa, nina desktop computer na Jana nlijalibu kuirestart. Baada ya kuzima na kuwaka Tena haikuleta chochote Ila ujumbe uliojiandikisha juu ukisomeka "BOOTMGR missing, press alt+Ctrl +del to restart". Nikijaribu kufanya maelezo hayo Bado linajirudia kuandika hivo, msaada tafadhali.