Wakuu habari zenu, jumapili ya tar 5/12/21 nkifanya process ya unlock bootloader ya kimeo changu redmi 8a, nlipambana sana mpaka kuja kufikia hatua ya kupewa muda wa kusubiri baada ya masaa 69, tatizo likatokea kesho yake windows kwenye PC ikazingua ikabidi nipige upya hapo ndo msala uka anza...