Booster

Mi sijawahi kuitumia maana jinsi ilivyo naogopa hata kuiweka mdomoni! Hebu share experience Mkuu! Unapaswa kula wakati unajiandaa kuelekea kunako?
Mimi nakula pweza na ngisi kwa kuwa nawapenda, sijui kama wana uhusiano na nguvu za kiume. Karibia kila siku nakula pweza wa 1500 au 2000, hapo mchuzi ni free. Pweza wazuri ni wale wanaopikwa pasi kuweka rangi.
 
Nina hakika ukisimama hutetereki
 
hizo supu huwanaweka vidonge siku hizi.
Wengi wanafanya hivyo, ila bado kuna watu waaminifu ambao hawaweki hivyo vitu. Nilisitisha kula haya makitu kwa hizi tuhuma za kuchanganywa na Viagra mpaka nilipopata kijiwe kipya cha Wapemba.
 
Wengi wanafanya hivyo, ila bado kuna watu waaminifu ambao hawaweki hivyo vitu. Nilisitisha kula haya makitu kwa hizi tuhuma za kuchanganywa na Viagra mpaka nilipopata kijiwe kipya cha Wapemba.
Wapo wasio weka, sa hizi meza za barabarani nyingi majanga.
 
Yeah! Experience matters!... Funguka mkuu!... ulipomaliza kujikojolea ikawaje?!...

Nimetumia akili kukujibu na sikutaka kutumia vigezo vya kuambiwa kijiweni. Ulaji pweza na ujinga mwingine uliotaja hauna any connection ya kuongeza nguvu za kiume per wataalam waliobobea na si wa vijiweni. Msipende kudanganyana.
 
Moto wa kuotea mbali kitu ina speed ya 4G
 
Nimetumia akili kukujibu na sikutaka kutumia vigezo vya kuambiwa kijiweni. Ulaji pweza na ujinga mwingine uliotaja hauna any connection ya kuongeza nguvu za kiume per wataalam waliobobea na si wa vijiweni. Msipende kudanganyana.

Thursday, October 27, 2016

Magazine
Dar’s octopus soup, fabled aphrodisiac
By Dorithy Ndeketela

posted Thursday, June 20 2013 at 14:23
It is an open secret in Tanzania that pweza or octopus helps to restore sexual prowess among men.

It is no wonder that the meat and soup feature prominently on the menus of high end restaurants and open air eateries at just about every bus station in Dar.

Seated at one of many tables at the Mwenge bus station in downtown Dar recently enjoying a bowl of soup and octopus fillet (it tastes like cuttlefish), I sought to find out if the claims were valid.

One man said the soup was “everything to men.” His companion said pweza had “restored his pride and saved his marriage.”

At Kebby’s restaurant in Magomeni ward, Sayyid Omary sells a bowl of octopus soup at Tsh1,300 ($0.814) but at the bus station a small piece of the meat costs between Tsh100 ($0.062) and Tsh200 ($0.124). One can also buy a chunk from the fish market near State House for between Tsh3,000 ($1.88) and Tsh10,000 ($6.26).

Octopus is a low calorie, lean seafood. It is a good source of iron, calcium, potassium, phosphorus and selenium. It also provides several important vitamins including Vitamin C, Vitamin A and several B vitamins, as well as omega-3 — an important nutrient that may decrease the chances of heart disease, cancer and depression. Omega 3 also boosts immunity and aids brain development in children.

Sex and fertility

According to Dr Musa Alfred, a clinician studying at the Muhimbili University of Health and Allied Science, regular consumption of octopus reduces the risk of cancers of the mouth, stomach, rectum, breast, colon, prostate, pancreas and lung.

He adds that the essential fatty acids are beneficial in preventing diseases like chronic bronchitis and Alzheimer’s disease. Studies show that octopuses have useful fat that lowers the risk of developing asthma.

Dr Alfred completes the jigsaw when he says the most common deficiency in impotent men is lack of Vitamin A. The availability of the vital Vitamin A in octopus helps regulate the synthesis of the sex hormone progesterone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…