Boom la Serikali HESLB

Elie zer

Member
Sep 20, 2021
74
67
Naomba kuuliza, hivi inawezekana kabisa mtu kujiinua kiuchumi kupitia boom? Yaani mtu akapata maendeleo kupitia boom??!!
 
Bwana mdogo ningependa kukushauri kwamba sio kila swali ulilonalo kichwani unatakiwa kuleta humu kwa njia ya uzi,,,,,, maswali mengine unafanya kupitia nyuzi mbali mbali za watu kupata majibu,

Mwisho wa siku watu watakuchoka humu na hutopata majibu/comments zenye msaada unaouhitaji kwenye nyuzi zako.

Ni hayo tu zingatia
 
Naona Bwana mrefu akipatia Bwana mdogo ushauri!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kijana anaporomosha threads kila dakika asee
Inawezekana Hana wa karibu.kikubwa ni kuelimishwa.binafsi wakati nakuwa nikiwa mdogo Sana nilimsumbuaga Sana Kaka yangu na maswali mpka mengine akaniambia kuwa nikikua nitajua.mara Nani alichimba hapa mtaro maji yakawa yanapita and like.mana tulichunga naye nikiwa mdogo nawàfuata porini.
 
Naomba kuuliza, hivi inawezekana kabisa mtu kujiinua kiuchumi kupitia boom? Yaani mtu akapata maendeleo kupitia boom??!!
Inategemeana na maisha ya utumiaji wako wa hela. Siku mnapewa Bei gani. Je utakaa hostel za chuoni,mtaani ,utakuwa unatumia nauli,mfano ukiweza kula mkate na maji ya Bomba Ina Mana mkate mmoja kwa siku moja so buku inatosha.
So Kama unapewa let say 9000 unasevu buku 8 kwa miezi minne 960k kwa miaka yako minne ama mitatu unayo Kama 3M. Bado hela ya field so ukijibana waweza toka na kitu Kama 4M Kama unabeti utakuza hela yako up to 6M. Ukitoka chuo utakuwa na pa kuanzia hata kuuza karanga kuchoma mahindi kibanda Cha chipsi unachoma mishikaki meza ya matunda hii tu ukipata location nzuri ukaweka mtu ama mkeo basi unamaliza ndani ya 2yrs unajenga kwako mkuu
 
Bwana mdogo ningependa kukushauri kwamba sio kila swali ulilonalo kichwani unatakiwa kuleta humu kwa njia ya uzi,,,,,, maswali mengine unafanya kupitia nyuzi mbali mbali za watu kupata majibu,

Mwisho wa siku watu watakuchoka humu na hutopata majibu/comments zenye msaada unaouhitaji kwenye nyuzi zako.

Ni hayo tu zingatia
Umemkamata "KAMATA"
 
Sio rahisi hivyo kushinda na mkate wa buku na Kuna msuli unakusubiri..
..
Cha Muhimu tumia hela vizuri..mambo ya kushinda na mihogo na kulala na mkate sio poa..
..
 
Naomba kuuliza, hivi inawezekana kabisa mtu kujiinua kiuchumi kupitia boom? Yaani mtu akapata maendeleo kupitia boom??!!
Hahahahahha.....Haya ndo maswalii
Ya first year..
We nenda ukafike chuonii ukapate hiloo Boom....
Then utaona mwenyw
 
Inategemeana na maisha ya utumiaji wako wa hela. Siku mnapewa Bei gani. Je utakaa hostel za chuoni,mtaani ,utakuwa unatumia nauli,mfano ukiweza kula mkate na maji ya Bomba Ina Mana mkate mmoja kwa siku moja so buku inatosha.
So Kama unapewa let say 9000 unasevu buku 8 kwa miezi minne 960k kwa miaka yako minne ama mitatu unayo Kama 3M. Bado hela ya field so ukijibana waweza toka na kitu Kama 4M Kama unabeti utakuza hela yako up to 6M. Ukitoka chuo utakuwa na pa kuanzia hata kuuza karanga kuchoma mahindi kibanda Cha chipsi unachoma mishikaki meza ya matunda hii tu ukipata location nzuri ukaweka mtu ama mkeo basi unamaliza ndani ya 2yrs unajenga kwako mkuu
Wee ..Nenda ukafike.......uanze kubetii
...ukutane na mechi ngumu kama
Za UEFA mwaka huu
Mbna hutatoboa na Boom hata mwezii mmoja
 
Inategemeana na maisha ya utumiaji wako wa hela. Siku mnapewa Bei gani. Je utakaa hostel za chuoni,mtaani ,utakuwa unatumia nauli,mfano ukiweza kula mkate na maji ya Bomba Ina Mana mkate mmoja kwa siku moja so buku inatosha.
So Kama unapewa let say 9000 unasevu buku 8 kwa miezi minne 960k kwa miaka yako minne ama mitatu unayo Kama 3M. Bado hela ya field so ukijibana waweza toka na kitu Kama 4M Kama unabeti utakuza hela yako up to 6M. Ukitoka chuo utakuwa na pa kuanzia hata kuuza karanga kuchoma mahindi kibanda Cha chipsi unachoma mishikaki meza ya matunda hii tu ukipata location nzuri ukaweka mtu ama mkeo basi unamaliza ndani ya 2yrs unajenga kwako mkuu
Yaani uwe unakula mkate wa buku kila siku kwa miezi minne mfululizo..haiwezekani hii,ataumwa na tutamzika mapema tu.
 
Inategemeana na maisha ya utumiaji wako wa hela. Siku mnapewa Bei gani. Je utakaa hostel za chuoni,mtaani ,utakuwa unatumia nauli,mfano ukiweza kula mkate na maji ya Bomba Ina Mana mkate mmoja kwa siku moja so buku inatosha.
So Kama unapewa let say 9000 unasevu buku 8 kwa miezi minne 960k kwa miaka yako minne ama mitatu unayo Kama 3M. Bado hela ya field so ukijibana waweza toka na kitu Kama 4M Kama unabeti utakuza hela yako up to 6M. Ukitoka chuo utakuwa na pa kuanzia hata kuuza karanga kuchoma mahindi kibanda Cha chipsi unachoma mishikaki meza ya matunda hii tu ukipata location nzuri ukaweka mtu ama mkeo basi unamaliza ndani ya 2yrs unajenga kwako mkuu
unaandika maelezo marefu ambayo ni impossible unamdanganya dogo tuu

uwezekano wa kusave boom ni mdogo ukijibana sana utaondoka na laki tano mwisho wa masomo yako.
 
kuanzisha biashara chuoni uwe makin unaeza chuo usikimalize
Kvp??! Au kwa sabab mda mwingi utautumia kwenye biashara hvyo kupunguza concentration kwny masomo?!! Au kwa sabab biashara ikilipa masomo yanakosa umuhimu?!! Nieleweshe!!
 
Naomba kuuliza, hivi inawezekana kabisa mtu kujiinua kiuchumi kupitia boom? Yaani mtu akapata maendeleo kupitia boom??!!
Labda uuze pipi na big G chuoni, pia unaweza fanya biashara ya nguo au viatu labda unaweza pata pesa ndogondogo za kukupunguzia machungu.
 
Bwana mdogo ningependa kukushauri kwamba sio kila swali ulilonalo kichwani unatakiwa kuleta humu kwa njia ya uzi,,,,,, maswali mengine unafanya kupitia nyuzi mbali mbali za watu kupata majibu,

Mwisho wa siku watu watakuchoka humu na hutopata majibu/comments zenye msaada unaouhitaji kwenye nyuzi zako.

Ni hayo tu zingatia
acha kumzihaki mwenzio ww kama hutaki kuchangia kaa kimya tu maana huu uzi utakuepo mpaka miaka 7 ijayo na itakua msaada kwa watakao ingia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom