Inategemeana na maisha ya utumiaji wako wa hela. Siku mnapewa Bei gani. Je utakaa hostel za chuoni,mtaani ,utakuwa unatumia nauli,mfano ukiweza kula mkate na maji ya Bomba Ina Mana mkate mmoja kwa siku moja so buku inatosha.
So Kama unapewa let say 9000 unasevu buku 8 kwa miezi minne 960k kwa miaka yako minne ama mitatu unayo Kama 3M. Bado hela ya field so ukijibana waweza toka na kitu Kama 4M Kama unabeti utakuza hela yako up to 6M. Ukitoka chuo utakuwa na pa kuanzia hata kuuza karanga kuchoma mahindi kibanda Cha chipsi unachoma mishikaki meza ya matunda hii tu ukipata location nzuri ukaweka mtu ama mkeo basi unamaliza ndani ya 2yrs unajenga kwako mkuu